Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mishangazi Teargass Nicxie tumeipigisha kelele ap kihusu skybox wakawa wanabisha, so we officially annouce ngong cowsHEd has no SKYBOX


View: https://www.instagram.com/reel/DfaCTI8KPxt/?dlrf=aHFwYzlsejJpN2Rn

Kuna hizi comments! 😂😂😂
Arusha has no skyboxes. What you have are VIP lounges which are also available in Talanta ukiachana na skyboxes.

There's no Skybox in Arusha Stadium.

You don't have Skyboxes in Arusha Stadium, hata Fumba Stadium will only have Presidential Lounge and not Skyboxes.
 
Kuna hizi comments! 😂😂😂
Mnuka mavi alikaza ****** akibishana tu. 😂😂😂😂 kijamaa kinaumia kikiona haya mambo yanatokea tena Arusha, the 3rd most developed in Tz, while wao ule uwanja wenye standards za TFF una skyboxes zimefungwa benchi za mbao na bomba za chuma tena Upo Nairobi their biggest and most developed city in the country.
 
Umesikia skendo za upigaji wa huu uwanja na huyo unayemuita genius?
scandal zinasemaje kua zimetumika billion 32 za renovation na bado uwanja haujawa meet requirement za CAF 😂😂😂😂😂 na renovation tajwa umechukua 3 good yrs au nimekosea ?
 
Sasa kwa akili ya kawaida tu uwanja wamevuruga pitch kwa ajili ya matengenezo utakuwaje na vigezo au standard za CAF kwa ajili kutumika?
miaka mitatu inafanyiwa renovation bro try to be serious waziri mwenyewe anakwambia uwanja hautatumika Afcon mm ninani nipinge 😂😂😂😂😂😂😂😂

32b zimekatika hapo 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
 
scandal zinasemaje kua zimetumika billion 32 za renovation na bado uwanja haujawa meet requirement za CAF 😂😂😂😂😂 na renovation tajwa umechukua 3 good yrs au nimekosea ?
Nimekuuliza wewe unayesifia huo uwanja huku ukijifanya huoni shutuma za ufisadi, wewe ukatae ukubali unatumia chuki kubishana.
 
Back
Top Bottom