stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,888
- 41,460
FIFA ranking umeingia juzi tu na hata hivo mechi yetu friendly na uganda wa cancelled in moroco due to ebola concerns, and ukiacha all that hujaingia AFCON the last 9 years huna any popularity gained from football, Jumlisha every award you have ever earned alafu tupe tourism revenues zako then compare na sisi
It will show you what makes a country popular between izo rugby na sports yenu ya doping
View: https://www.instagram.com/p/DfUs5d3jXcl/?vrfl=MWMzMXFjMGs4d3NmdA==
Alafu materials zimetumika ni sub standard😂😂
we imagine uwanja wa mkapa umekula over 32billion na bado haueleweki mpaka leo zaidi ya miaka mitatu na bado unaambiwa material ni sub standard 😂Alafu materials zimetumika ni sub standard😂😂
10 years mpaka leo hafiki kisumu 😂 😂Hii wameandika kingelezaaaa ili Tanzania tusielewe na kujua eeh..
Hapa wana maanisha Nini? 😅
View attachment 3704726
kwann wasingeboresha kabla ya mvua hzo na walikua wanajua kuna elnino🙌🏻🙌🏻🙌🏻
View: https://www.instagram.com/reel/DfUy1FExHgB/?vrfl=MW9iMmg3b3BuY3BvdQ==
anachangamkia fursa banaHuyo anatafuta tu ulaji wala hakuna kitu.
Nicxie ana kelele utadhan wana mpira basi uko mwaka wa 10 sasa hawajui AFCON nii nn 😂 😂FIFA rankings zenyewe ameizidi Tanzania maana friendly match za Tanzania zimekuwa postponed.
Na hapo katuzidi tu nafasi moja, sijui anashangilia nini! 😂😂😂
View attachment 3704722