Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

15 million ata haifiki 1 million Kes infact its 750k ....ruto kwa fund raisings anachezea 10 million ama 5 million.....huyu magu hana doo
Magufuli hiyo ametoa mfukoni mwake, hiyo ni sawa na 160% ya mshahara wake, Magufuli sio tajiri wala corrupt person, hakuna mtu anayemchangia pesa yoyote. Rutto ni corrupt, fisadi na amezungukwa na rafiki corrupt, anaweza kuchangiwa pesa yoyote na rafiki zake au kutoa katika biashara zake alizodhulumu viwanja vya shule za msingi. Msijaribu kutuingiza katika competitions za michango, sisi sio watu wa kupenda sifa, wala sisi sio corrupt kama ninyi.
4 lanes, major highway,no road paintings, no street lights, shittest hole
 
Ndio maana nikasema hiyo yenu itakuwa ya kwanza duniani. All over the world, roads are designed to have even number of lanes on each side of the road. That's epitome of poor planning, ndio maana siku zote tunawaambia kwamba Dar is a poorly planned city. Kuja Nairobi uone mpangilio wa barabara ulivyo bora
Hujatembea duniani wewe acha kujidhalilisha, unadhani Tanzania walitunga wenyewe hizo 5 lanes?
 
Tanzania will never catch up with Kenya even in 100 years. Apart from Dar nothing happens in other towns. Arusha, Moshi, Mwanza ni maduka ya nguo na duka za kawaida tu. Google about Mombasa, Machakos, Nakuru, Eldoret, Kisumu, Thika, Kisii, Meru, Naivasha, Nyeri, Malindi ndio mtakubali Kenya is a powerhouse.
East Africa’s dollar millionaires 2016
  • Business Daily (Kenya)
  • 13 Nov 2017
getimage.aspx

KENYA HAS MORE DOLLAR MILLIONAIRES THAN UGANDA, TANZANIA AND RWANDA COMBINED
Ujue mistake kila nchi ijenge ma real estates kama huko Kenya ndo mseme ni maendeleo,sie tuna horizontal horizontal development kwenye real estates coz we have plenty land unlike nyie mnafanya vertical devlpment coz of scarce land
Kwenye other parameters hasa za social services tunawakimbiza ingawa ni kweli kuwafikia kwa miongo miwili ijayo ni ndoto unless tu grow GDP kwa double digit kwa zaidi ya miaka kumi,ndo hata Ethiopia ilifanya.Gap still ni kubwa na mfumo huu wa centralization itatuchukua mkaka mingi sana kupata maendeleo ya haja bongo yetu hii
 
And then you wonder why Nairobi is the headquarters of United Nations Environmental Program (UNEP), Habitat and other international organizations and UN bodies. The greenery aspect is one of the contributing factors among many other things. Even Oxfam is moving its international headquarters from London to Nairobi
6226.jpg
4805.jpg
4801.jpg
6413.jpg
4765.jpg
 
Ujue mistake kila nchi ijenge ma real estates kama huko Kenya ndo mseme ni maendeleo,sie tuna horizontal horizontal development kwenye real estates coz we have plenty land unlike nyie mnafanya vertical devlpment coz of scarce land
Kwenye other parameters hasa za social services tunawakimbiza ingawa ni kweli kuwafikia kwa miongo miwili ijayo ni ndoto unless tu grow GDP kwa double digit kwa zaidi ya miaka kumi,ndo hata Ethiopia ilifanya.Gap still ni kubwa na mfumo huu wa centralization itatuchukua mkaka mingi sana kupata maendeleo ya haja bongo yetu hii
mkenya umerudi unajifanya nyoka wa kibisa😀😀
jaribu gear nyingine hii imeshafeli😛😛
 
Ujue mistake kila nchi ijenge ma real estates kama huko Kenya ndo mseme ni maendeleo,sie tuna horizontal horizontal development kwenye real estates coz we have plenty land unlike nyie mnafanya vertical devlpment coz of scarce land
Kwenye other parameters hasa za social services tunawakimbiza ingawa ni kweli kuwafikia kwa miongo miwili ijayo ni ndoto unless tu grow GDP kwa double digit kwa zaidi ya miaka kumi,ndo hata Ethiopia ilifanya.Gap still ni kubwa na mfumo huu wa centralization itatuchukua mkaka mingi sana kupata maendeleo ya haja bongo yetu hii
I like honest people like you. Watu wasiokua na ushabiki za kijinga. Hizi nchi zote mbili ziko na changamoto si haba ila tunayashugulikia hayo matatizo lakini hiyo isiwe sababu ya kutufanya tusiseme ukweli kuhusu maendeleo za hizi nchi mbili na kukubali kwamba kwa sasa, kenya imepiga hatua kuliko Tanzania kimaendeleo japo Tanzania pia inajitahidi kuliko ulvyokuwa ikifanya hapo awali. Kongole
 
hahaha u like honest people wakat mkenya mwenzio anajifanya nyoka wa kibisa😀😀😀😀😀 sisi tulishamshtukia from day 1 endeleeni kujipa hopes
kisu kiko pale pale hakitoki kwenye mfupa
 
Ujue mistake kila nchi ijenge ma real estates kama huko Kenya ndo mseme ni maendeleo,sie tuna horizontal horizontal development kwenye real estates coz we have plenty land unlike nyie mnafanya vertical devlpment coz of scarce land
Kwenye other parameters hasa za social services tunawakimbiza ingawa ni kweli kuwafikia kwa miongo miwili ijayo ni ndoto unless tu grow GDP kwa double digit kwa zaidi ya miaka kumi,ndo hata Ethiopia ilifanya.Gap still ni kubwa na mfumo huu wa centralization itatuchukua mkaka mingi sana kupata maendeleo ya haja bongo yetu hii
Ningekua moderator ungekua umekula ban muda mrefu sana..hivi huwezi kuchangia bila kujiita we mtz mbona unang'ang'ania utz ujue unaboa kinoma yaan
 
Back
Top Bottom