Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hakuna hasira huo ndio ukweli ili mufkie level ya dar kwanza misitu iishe mujenge majengo alaf muje tuonge sasa😀😀😀😀😀
You are reasoning just like a typical Tanzanian would. To you and your ilk, building swahili villages in your so called city is more important than saving the environment and creating an inviting living environment. We know the type of houses that dot your slummy city so usiongee kuhusu majengo. We are building world class skyscrappers and estates while creating green spaces at the same time. That is the balance that a world class city should create.
 
hahaha u like honest people wakat mkenya mwenzio anajifanya nyoka wa kibisa😀😀😀😀😀 sisi tulishamshtukia from day 1 endeleeni kujipa hopes
kisu kiko pale pale hakitoki kwenye mfupa
Wacha akue hata mganda ama hata msomalia, bora ni mtu na ametoa hoja yake kutoka ndani ya roho. You dont have to agree with every opinion after all
 
Ningekua moderator ungekua umekula ban muda mrefu sana..hivi huwezi kuchangia bila kujiita we mtz mbona unang'ang'ania utz ujue unaboa kinoma yaan
huyo sio mtanzania wala asiwasumbue kichwa nilishamuanika hapa toka siku ya kwanza😀😀
 
Wacha akue hata mganda ama hata msomalia, bora ni mtu na ametoa hoja yake kutoka ndani ya roho. You dont have to agree with every opinion after all
heheheh mkenya mwenzenu endeleenu kujipa hopes na kudanganyana mkijua ni ile tz ya 90s😀😀😀😀
 
So Ichoboy you cleared trees in Dar to create this thing below!? SMH. Najua utasema hiyo ni Dar ya 90's
4802.jpg
 
mkenya umerudi unajifanya nyoka wa kibisa😀😀
jaribu gear nyingine hii imeshafeli😛😛
Acha kujichekesha mkuu
Ukweli utakuweka huru ,vinginevyo unatumia nguvu nyingi sana kujifariji,,Wakenya wako mbele sana kwenye viwanda,miundombinu,real estates,biashara na Kilimo,,kitendo tu cha kujilinganisha nao ni ishara tosha,,hata wawekezaji wakubwa bongo ni wao,mambo ya green house tumejifunza kwao and many more things,,sie bongo cha kujicunia ni uhakika wa kula,Huduma za jamii na stable social integration
Uniite sijui mkenya au mbongo au mrundi haibasili huo ukweli,ili tu catch up lazima GDP ipite digit 2 la sivyo itakuwa ngumu given kasi ya ongezeko la watu na poor allocation of resources unaochagizwa na mfumo mbaya wa utawala
 
You are reasoning just like a typical Tanzanian would. To you and your ilk, building swahili villages in your so called city is more important than saving the environment and creating an inviting living environment. We know the type of houses that dot your slummy city so usiongee kuhusu majengo. We are building world class skyscrappers and estates while creating green spaces at the same time. That is the balance that a world class city should create.
mm nakwambia kwenye living standards na environmental standards tanzania sio level yenu hehe nashangaa wazungu waliona kibera pekeake kua the biggest slum in the world followed by makuru kayaba munaishi maisha hata nguruwe hawez kuishi,
hhehehe world class city haina maji mwaka mzima😀😀😀😀, world class city ina the biggest slum in the world

hii ndio world class city one good year
08CBB520-D4BD-4A31-9133-F58155C7D5C4.jpeg

mji umezungukwa na slums from east to west and from north to south yani city center ni ndogo sana tena sana
6F900D6E-5656-471B-9D81-E266BDEF990D.png
 
Acha kujichekesha mkuu
Ukweli utakuweka huru ,vinginevyo unatumia nguvu nyingi sana kujifariji,,Wakenya wako mbele sana kwenye viwanda,miundombinu,real estates,biashara na Kilimo,,kitendo tu cha kujilinganisha nao ni ishara tosha,,hata wawekezaji wakubwa bongo ni wao,mambo ya green house tumejifunza kwao and many more things,,sie bongo cha kujicunia ni uhakika wa kula,Huduma za jamii na stable social integration
Uniite sijui mkenya au mbongo au mrundi haibasili huo ukweli,ili tu catch up lazima GDP ipite digit 2 la sivyo itakuwa ngumu given kasi ya ongezeko la watu na poor allocation of resiurces
hahahah nimekuskia mkenya au kwa jina jingine nyoka wa kibisa😀😀😀😀😀😀

sisi tulishakaa na watu kama nyie ndio maana hamutupi shida wewe sio mkenya wakwanza ku act humu wamepita wenzio na id wakazifuta😛😛😛

hii ndio real estate from world bank 3b usd
ndugu mkenya hii sio ile tz ya 90s
980E6F71-8D33-4C7A-B490-0D2EE8A8CE27.png
 
Acha kujichekesha mkuu
Ukweli utakuweka huru ,vinginevyo unatumia nguvu nyingi sana kujifariji,,Wakenya wako mbele sana kwenye viwanda,miundombinu,real estates,biashara na Kilimo,,kitendo tu cha kujilinganisha nao ni ishara tosha,,hata wawekezaji wakubwa bongo ni wao,mambo ya green house tumejifunza kwao and many more things,,sie bongo cha kujicunia ni uhakika wa kula,Huduma za jamii na stable social integration
Uniite sijui mkenya au mbongo au mrundi haibasili huo ukweli,ili tu catch up lazima GDP ipite digit 2 la sivyo itakuwa ngumu given kasi ya ongezeko la watu na poor allocation of resources unaochagizwa na mfumo mbaya wa utawala
Acha maneno ya vijiweni wewe, humu karibu asilimia kubwa ni wasomi, lete reliable evidences ku support hayo unayosema, sio kutoa kichwani mwako vile ulivyoambiwa na unavyojua wewe, kama huna evidence hayo unayosema yatabaki kuwa mawazo yako tu.
 
huyo ni mkenya anaejifanya mtanzania😀😀😀
 
Ni kawaida yenu sana hamkubali ukweli. Hilo "jiji" lenu ni slums left right and center. Leta picha ya kibera sasa kama ilivyo kawaida yenu
sio mm ni dunia ndio inajua hvo😀😀😀

https://www.habitatforhumanity.org....argest-slums-dharavi-kibera-khayelitsha-neza/

//borgenproject.org/5-largest-slums-world/

Karachi's Orangi Town named largest slum in the world - The Express Tribune

dar huwez ikuta hata top 100 slums in the world huikuti munaishi maisha hata nguruwe hawez kuishi alaf munataka msiongoze dunia kua na slums za ajabu zinazotisha duniani, yani muna worse slums in the world in my life sijawah kuona wallah dah
 
Acha maneno ya vijiweni wewe, humu karibu asilimia kubwa ni wasomi, lete reliable evidences ku support hayo unayosema, sio kutoa kichwani mwako vile ulivyoambiwa na unavyojua wewe, kama huna evidence hayo unayosema yatabaki kuwa mawazo yako tu.
Hahaha...aki hamoendi kuambiwa ukweli. Hakuna nchi iliyokamilika duniani. Even USA has its fair share of challenges. Mbona nyie mnafikiria kwamba hakuna sector ambayo kenya iko mbele ya Tanzania. Hata Tanzania pia kuna sectors imeshinda kenya. Why do you label him kenyan for just speaking the truth?
 
Mimi sijamuita mkenya, mimi nilichomtaka ni kutoa evidence, hata kama ni mtanzania au mkenya muhimu ni kutoa evidence pale unapojenga hoja. Uraia wako sio kigezo cha kwamba unayoyasema yawe ni kweli au urongo, without reliable evidences yatabaki kuwa hot air.
 
Hahaha...aki hamoendi kuambiwa ukweli. Hakuna nchi iliyokamilika duniani. Even USA has its fair share of challenges. Mbona nyie mnafikiria kwamba hakuna sector ambayo kenya iko mbele ya Tanzania. Hata Tanzania pia kuna sectors imeshinda kenya. Why do you label him kenyan for just speaking the truth?
ujanja wenu wakipuuzi tulishaujua kabla wewe hujajiunga jamii forum ndio maana hamtupi shida 😀😀😀 hapa sio nairaland munapowadanganya wa nigeria huko
 
Acha maneno ya vijiweni wewe, humu karibu asilimia kubwa ni wasomi, lete reliable evidences ku support hayo unayosema, sio kutoa kichwani mwako vile ulivyoambiwa na unavyojua wewe, kama huna evidence hayo unayosema yatabaki kuwa mawazo yako tu.
Evidence zipi zaidi ya hizi hizi mnaziweka humu wenyewe,mfano kwenye tarmac road ke@15,000km,Tz@7600km,,38 companies za Kenya wamewekeza Tz na ndo investor mkubwa nyuma ya UK,China,SA,USA .All these takwimu mnazipost wenyewe hata picha za infrastructure zimejaa humu afu ulitembea utaona uhalisia wenyewe
Ila battle iendee tu kujifariji inanisaidia kupata habari za kinachoendelea sehemu ambayo sina access nazo
 
Back
Top Bottom