stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,039
- 40,428
Kuendelea kubishana na huyo nimegundua ni kupoteza tu muda. 😂😂😂icho girl mbna kimya tena? hizo data unaleta au hauleti tujue we ni mlamba rectum wa Teargass
View attachment 3699539
sisi tunataka aendelee ivo ivoKuendelea kubishana na huyo nimegundua ni kupoteza tu muda. 😂😂😂
Hana facts, anaandika vitu hajui na wala havielewi. 😂😂😂
Angalau basi angekuwa na hoja.

Hakuna ukweli wowote umeandika zaidi ya hisia zako,hii ndio shida ya kua mtanzania hatupendi ukweli kabisa
Ulimuambia nani kuna hayo mazuri? 😂😂😂nimekwambia yapo mazuri tutayaongelea lakini m kua chawa wa kushangilia na kusema mambo ya uongo uongo siwezi
kwangu mm black i will tell u is black na sio white
Sasa ba mnyogode, ukitaka tuweke made in Tz humu si utakimbia hii thread.?kama kishoka ni kazi rasmi basi hii nchi inashida kubwa sana😆😆😆😆🙌🏻🙌🏻🙌🏻
una export nn bro? ikiwa mpaka mchele una import from pakistan and india over 16.5m usd kwa mwaka
leo una export korosho as raw material alaf zinapelekwa india na kenya zinapita kwenye viwanda wanafanya clear packaging wanazipeleka duniani zikiwa made from their country.
what kind of goods are we exporting ikiwa toothpick tumeshindwa kuzalisha mpaka zitoke china, tuna export nn zaidi ya kuuza dhahabu mpaka za reserve? au ww hujui kama dhahabu inaisha?
ukienda supermarket zetu zimejaa bidhaa za wakenya mpaka maziwa zipo kutoka kenya, hebu funga safari hapa nenda kenya kama utakuta maziwa ya tanzania, hardly utapata azam energy na zenyewe market yake ni wala mirungu tu wachache
hizi ni bidhaa mbili tu kwa haraka nimenunua kwenye supermarket zetu and zinatoka kenya alaf ww una export nn???
View attachment 3699528View attachment 3699529
Watakabwa wageni wengi sana hapo msituni Ngong 😁
Watu waongo waongo, so kumbe ni chuki na hisia! 😂😂😂kama kishoka ni kazi rasmi basi hii nchi inashida kubwa sana😆😆😆😆🙌🏻🙌🏻🙌🏻
una export nn bro? ikiwa mpaka mchele una import from pakistan and india over 16.5m usd kwa mwaka
leo una export korosho as raw material alaf zinapelekwa india na kenya zinapita kwenye viwanda wanafanya clear packaging wanazipeleka duniani zikiwa made from their country.
what kind of goods are we exporting ikiwa toothpick tumeshindwa kuzalisha mpaka zitoke china, tuna export nn zaidi ya kuuza dhahabu mpaka za reserve? au ww hujui kama dhahabu inaisha?
ukienda supermarket zetu zimejaa bidhaa za wakenya mpaka maziwa zipo kutoka kenya, hebu funga safari hapa nenda kenya kama utakuta maziwa ya tanzania, hardly utapata azam energy na zenyewe market yake ni wala mirungu tu wachache
hizi ni bidhaa mbili tu kwa haraka nimenunua kwenye supermarket zetu and zinatoka kenya alaf ww una export nn???
View attachment 3699528View attachment 3699529
Tafuta supermarket yoyote unioneshe maziwa ya kutoka kenya ukiyapata uniambie nikulipie mm 😆😆😆😆
Dar fresh
Tanga fresh
Azam
Assas
Musoma diary
Farmers fresh
Tan diaries
West kilimanjaro
Engiteng
Maziwa mbeya
Etc hzo zote ni kampuni kubwa na ww unaonekana tanzania bado huijui 😆😆😆 tafuta soko la maziwa kenya ukilipata unitag mm eti unabana saut supermarket zote zimejaa maziwa ya kenya ww hata supermarket unazijua ikiwa unatokea sumbawanga vijijini 🤣🤣🤣🤣
supermarket zipo mpaka juice zinatoka UK, south africa, etc hakuna bidhaa inakataliwa kuingia tanzania swali je soko lipo ?? hata sabuni ya omo 10yrs ago ilikua na soko kubwa ila kwasasa omo haina soko kabisa tanzania kwasababu makampuni ya sabuni tanzania yanachuana vibaya mno. yani wewe hoja yako ni ya kipumbavu kabisa
au unataka kusema azam energy ikiuzwa kenya inamana hakuna energy zingine??

$1B for cancellation 😂😂😂apo lazima ngeta zitembeeWatakabwa wageni wengi sana hapo msituni Ngong 😁