Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya wanaopost nchi yao sio machawa ila Watanzania wanaopost nchi yao ni machawa. 😂😂😂
Wewe una changamoto ya afya ya akili.
Tunapost maendeleo ya Tanzania humu, kuna mtu umeona anapost viongozi?
nimekwambia yapo mazuri tutayaongelea lakini m kua chawa wa kushangilia na kusema mambo ya uongo uongo siwezi

kwangu mm black i will tell u is black na sio white
 
Actually 50% of Tanzania truck roads are like that. 😂
let me tell u, tanzania ilijitahidi sana kujenga barabara hasa regional roads network, isipokua what we did ni kujenga barabara below the standards, ufisadi na rushwa inside the construction projects ndio maana leo nashangaa kuona barabara ya babati singida imekwisha kabisa na haina muda mrefu, wakat kuna barabara za mkoloni mpaka leo zipo nchi hiii zaidi ya miaka 70, ujerumani kuna barabara ina zaidi ya miaka 100
 
and who owns AVA?
1793094337126.png
 
Vishoka nayo kazi , kuondoka rushwa kunaanza na wewe , halafu mwekezaji hatakiwi kutokea nje bali ni fursa za watu wa ndani kuwekeza kama wewe hujaiona hiyo fursa basi usilalamikie wengine, tembea uone watu wanavyowekeza na wala hawana ukiritimba kama wewe. Hivi unajua Tanzania ndo Ina exports nyingi za manufactured goods kuliko nchi yoyote ya east Africa?
Kipimo Cha uwekezaji ni exports sio maneno ya au showoff za mtaan
kama kishoka ni kazi rasmi basi hii nchi inashida kubwa sana😆😆😆😆🙌🏻🙌🏻🙌🏻

una export nn bro? ikiwa mpaka mchele una import from pakistan and india over 16.5m usd kwa mwaka

leo una export korosho as raw material alaf zinapelekwa india na kenya zinapita kwenye viwanda wanafanya clear packaging wanazipeleka duniani zikiwa made from their country.

what kind of goods are we exporting ikiwa toothpick tumeshindwa kuzalisha mpaka zitoke china, tuna export nn zaidi ya kuuza dhahabu mpaka za reserve? au ww hujui kama dhahabu inaisha?

ukienda supermarket zetu zimejaa bidhaa za wakenya mpaka maziwa zipo kutoka kenya, hebu funga safari hapa nenda kenya kama utakuta maziwa ya tanzania, hardly utapata azam energy na zenyewe market yake ni wala mirungu tu wachache

hizi ni bidhaa mbili tu kwa haraka nimenunua kwenye supermarket zetu and zinatoka kenya alaf ww una export nn???

IMG_3369.jpeg
IMG_3370.jpeg
 
View attachment 3699528View attachment 3699529
nani mwingine unataka kumtetea mlete
1793095016386.png
 
Back
Top Bottom