ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,268
Nimewahi ni Moja ya kampuni kubwa niliosahau pale kwenye list yangu but ngumu sana kukuta bidhaa za Tanga fresh Songea au hata Tabora..Ulishawahi kutumia Tanga fresh?usikute hua unaendesha mada zako kwa hisia sio uhalisia wa mambo
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Tunarudia kule kule kama ni vikampuni hapa Bongo vingi sana ila ni local.
Kwa experience yangu ya Supermarket bidhaa inayotoka haraka ya maziwa ni Azam Milk ,Brookside za Kunyaland ndio wanafuata hao wengine mwisho mwisho huko 😁😁


hujui kitu ni wivu na mdomo umejaza kam mswahili tu