Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tuache sababu za Dangote kutowekeza Tz maanake kila mtu anasema lake. Honestly unataka kusema Dangote angewekeza Tz tusingenufaika? Na kuacha kuwekeza Tz hatujapoteza kitu?
shida hii nchi sijui tumekuaje bro na mm nimeamini uchawa ni catastrophe ya nchi hii yani 17b usd investment mtu anakwambia tusingefaidika 😂😂😂😂
 
dangote aim yake ilikua tanga lakini kiongozi anaulizwa anasema hana taarifa unategemea hilo tonge litakaa likusubiri uwe na taarifa ? tuongee ukweli bila uchawa hio project imetuuma ndio maana kuzima huo moto tukaandaa vitol aje tufanye maigizo ya danganya toto ili kutuliza maumivu na presha za watanzania
Watu walikuwa washatia mkono kwenye sufuria la Vittol halafu anakuja mtu anasema Tanga lazima uchanganyikiwe kitumbua kinataka kupotea hivihivi kwa kauli isiyo ya kiitifaki.
 
A huge dust cloud and very strong foul smell swept across mbeya, with residents experiencing dusty and fart conditions.😂View attachment 3696474
sema westlands na vumbi ni kama kdf na F-1
1792692964766.png
 
Kumbe hii vumbi umeshinda ukiimba kila kukicha ni projection ya your own village of mbeya issues 🤣🤣🤣View attachment 3696458View attachment 3696459View attachment 3696461
Kundi kubwa la wafuasi wa Chadema ndio limemwagwa mitandaoni kutoa maoni ya hivi pamoja na watu wanaopinga serikali kama ilivyokwa Ichoboy kwa sasa.

Hali hii ilikuwa hivi kipindi cha Magufuli kwa watu waliompinga Magufuli na ndio ilivyo kwa watu wanao mpinga Samia.
Binafsi nampinga sana Samia lakini siwezi kuwa muongo or kuja na data za kupika just kuipaka matope serikali ninayo ipinga. Nasifia wanapo fanya vyema na nakosoa wanapofanya vibaya.

Sasa kwa mjinga yeyote asiyejua or kafail kutambua siasa za Tanzania ataishia kujipa moyo na ujinga wa kuokota matamshi ya kijinga mitandaoni.

All-in-all, hakuna taifa lililo endelea watu wake wanakifa na njaa. Hakuna taifa lililo piga hatua kiuchumi lisolo jitosheleza kwa chakula. Hakuna taifa linaloweza toka handharani na kuwa proud na maendeleo kama ni taifa linalotegemea chakula cha msaada.

Kama taifa hili lipo, basi ni taifa la watu wapumbavu sana.
 
so kwa akili yako unadhani vitol atajenga refinery tanga? hio ni danganya toto mzee ile ilikua siasa ya kufunika vuguvugu hili la dangote, mafuta ya uganda yanakuja huku kama crude oil ambayo ni export, yani uganda aache kujenga refinery kwake aje akupigie debe kwako wakat mafuta ni yake😂😂😂😂😂 kweli uchawa ni cancer ya hili taifa
Tunaeza bishana hapa mpaka kesho kutwa, mimi naliacha kiporo hili jambo, muda ndio utaleta majibu.
 
so kwa akili yako unadhani vitol atajenga refinery tanga? hio ni danganya toto mzee ile ilikua siasa ya kufunika vuguvugu hili la dangote, mafuta ya uganda yanakuja huku kama crude oil ambayo ni export, yani uganda aache kujenga refinery kwake aje akupigie debe kwako wakat mafuta ni yake😂😂😂😂😂 kweli uchawa ni cancer ya hili taifa
Ichoboy kwani ulioa bibi mwingine ?.. 🤣🤣🤣umechanuka pro max . Whatever you are doing, don’t quit . I can’t wait to read more from you … very interesting … 🤯🤯🤯
 
so kwa akili yako unadhani vitol atajenga refinery tanga? hio ni danganya toto mzee ile ilikua siasa ya kufunika vuguvugu hili la dangote, mafuta ya uganda yanakuja huku kama crude oil ambayo ni export, yani uganda aache kujenga refinery kwake aje akupigie debe kwako wakat mafuta ni yake😂😂😂😂😂 kweli uchawa ni cancer ya hili taifa
unajua nn kuhusu refinery icho girl 🤣 🤣 ulitaka ajenge refinery uganda alafu auze vp kwenye ships 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom