Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Daily Dose,
11.webp
 
Ila bro kwenye hii ya dangote binafsi naona sawa,sisi tuna bandari na ardhi kubwa tumetoa,uganda wana mafuta,dangote angekuja na pesa,pale kenya walikuja kwa kuoffer kitu gani?
So Kenya ndio hakuna ardhi kubwa na bandari? You are reasoning like someone who has smocked bang already.
 
Hapa naona both the Skyboxes and the Presidential Lounge and Pavilion. Kuna wenye wanataka kulazimisha presidential lounge to be a Skybox 😂😂
Yani hata pale twitter na facebook wakiona random person anasifu Talanta Stadium, wanakuja na ile picha ya presidential lounge.😂😂
 
Ila bro kwenye hii ya dangote binafsi naona sawa,sisi tuna bandari na ardhi kubwa tumetoa,uganda wana mafuta,dangote angekuja na pesa,pale kenya walikuja kwa kuoffer kitu gani?
kinachotoka uganda ni crude oil ambayo inaetakiwa kua exported kwenda nchi za nje kwenye refineries, hakuna refineries itajengwa tanzania bro ile ilikua siasa danganya toto ya kupunguza hasira baada ya kukosa dili la dangote, na kama ingekua kujengwa refineries basi ingejengwa hoima uganda na sio vinginevyo, bro mark my words ni pigo kubwa sana tumelipata kama taifa hata kama ukweli ni mchungu but hio ndio reality
 
Yani hata pale twitter na facebook wakiona random person anasifu Talanta Stadium, wanakuja na ile picha ya presidential lounge.😂😂
They are even embarrassing themselves. Every country in Africa is praising Talanta as among the top 5 best stadiums in entire Africa, the only country suffering from that declaration is Tanzania.
 
unajua nn kuhusu refinery icho girl 🤣 🤣 ulitaka ajenge refinery uganda alafu auze vp kwenye ships 🤣🤣🤣🤣
ingekuja tayar ni mafuta ready for use for export au whatever lakini usinambie uganda ye hataki investment ya refinery ambayo ni huge investment ya over may be 18b usd alaf kumbuka mafuta yanayochimbwa uganda mbia mkubwa ni TOTAL na CNOOC so unategemea mfaransa na mchina waache kupeleka crude oil kwao ili kuendelea kutengeza ajira makwao wakuletee wewe uliesinzia na kulala umebakia uchawa all the time? 😂😂😂
 
Tunaeza bishana hapa mpaka kesho kutwa, mimi naliacha kiporo hili jambo, muda ndio utaleta majibu.
haya mambo yaache sahau kitu kinaitwa refinery, hakuna cha muda wala wakati, yani vitol bahrain atoe ajira kwake aje akuletee ajira kwako wakat crude oil yenyewe sio yake ni ya total na CNOOC😂😂😂😂🙌🏻🙌🏻🙌🏻

hio ya vitol ilikuja baada ya dangote kuchagua kenya hio inaitwa political mindset
 
Siku zitafika na nitakupa risiti zako.
 
Back
Top Bottom