Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mwaiofhawaii najua unataman kwel KDF ionekane its something but 🤣 🤣 🤣 even burundi wins hands down mapema sana
1792685800458.png
 
na mmiliki ni mkenya isipokua ana asili ya kutoka tanga ila ni mkenya kiraia
na nimekujibu vzr sana ni raia wa kenya mwenye asili ya kutoka tanga unless hujui kusoma wala kuandika😂😂😂😂😂

even hq iko mombasa kenya kudhihirisha nilichokwambia na makazi yake yako mombasa isipokua mama yake mzazi alikua akiishi tanga kabla kufariki
 
usikwepe swali $40k ni tsh ngap umesema? 🤣 🤣 🤣 alafu nani kakwambia walikua wanafanya ili ela irudi,? bora ata umehamia kwa hao slum members wenzako 🤣🤣 kwahio tuseme kenya wametumia $1.3B kwenye uwanja mmoja wanairudisha mwezi mmoja sio? 🤣🤣 we ni punda tu
what ever hata iwe million 100 still haivunji kua unapoteza 750m kwa ajili ya 100m ni akili au makamasi😂😂😂😂😂😂😂

haya so far imetusaidia nn kama taifa ???? alaf tunashabikia upuuzi wakat nchi ina shida za kila aina
 
nan anagombania wawekezaji? 🙆‍♂️ 🙆‍♂️ wawekezaji wapo kwa ajili ya sector ambazo bado ni ngumu kufanyika na wazawa na sio kuja kujenga hoteli, we fala nn, yaani utoke nje uje kujenga appartment useme umefanya uwekezaji, alafu hao slum members ela watoe wap?
huyo dangote unafkiri haijatuuma mpaka mukaenda kulmleta vitol iwe danganya toto mufunike maumivu ya kuchukuliwa tonge mdomoni alaf unaongea nn hapa😂😂😂😂
 
Endelea kishangilia kampuni ta Mwarabu. By the way how do acquisition of Oryx energy by Amsons help the ordinary Tanzanian?

Mbona unalia sasaa!?

Mimi nasifia uwekezaji wa Mtanzania Amsons.... Kupitia Mtanzania huyu anajifanya Tanzania kuwa energy hub. wewe Sifia Dangote anavyopiga Hela hapo kunyaland na kupeleka Hela Nigeria. Kama mnavyonunua hisa hapo ili afanye upanuzi wa refinery yake pale Lekki Nigeria.

Unataka kujua faida kwa Mtanzania? Weka market share na distribution network ya Oryx's then utajua katika mnyororo huo Tanzania itafaidika vipi... Kuanzia mkulima na mazao yake na mfugaji vile wanawalisha hapo kunyaland na Nchi nyingine za jirani
 
huyo dangote unafkiri haijatuuma mpaka mukaenda kulmleta vitol iwe danganya toto mufunike maumivu ya kuchukuliwa tonge mdomoni alaf unaongea nn hapa😂😂😂😂
Tuache uongo jamani, ni tonge lipi ambalo Tz kanyang’anywa.? Unaeza chukia serikali lakini kuwa mkweli usipotoshe jamii ati kwasababu serikali iliyopo madarakani hauipendi.
 
what ever hata iwe million 100 still haivunji kua unapoteza 750m kwa ajili ya 100m ni akili au makamasi😂😂😂😂😂😂😂

haya so far imetusaidia nn kama taifa ???? alaf tunashabikia upuuzi wakat nchi ina shida za kila aina
Miss grand ni taji mkubwa, wala sio hela. Unajua team za EPL for instance zinawekeza sh ngapi.? pesa za kulipa wachezaji kila wiki, maintenance za viwanja vyao, gharama za usafiri, malazi ya wachezaji wakiwa kambini, na experience zingine.?

Je kombe linathamani kuzidi gharama wanazotumia kushindania.?
 
taji kubwa la kutoka wapi? au ww unahisi kila mtu anaakili za kichawa tu, limesaidia nn kama taifa zaidi ya kwenda kuwakusanya mashoga wa jijini na machangudoa wa sinza na kinondoni kwenda kukata mauno airport, au ww unahisi walienda bure wale?
 
Tuache uongo jamani, ni tonge lipi ambalo Tz kanyang’anywa.? Unaeza chukia serikali lakini kuwa mkweli usipotoshe jamii ati kwasababu serikali iliyopo madarakani hauipendi.
dangote aim yake ilikua tanga lakini kiongozi anaulizwa anasema hana taarifa unategemea hilo tonge litakaa likusubiri uwe na taarifa ? tuongee ukweli bila uchawa hio project imetuuma ndio maana kuzima huo moto tukaandaa vitol aje tufanye maigizo ya danganya toto ili kutuliza maumivu na presha za watanzania
 
Miss grand ni taji mkubwa, wala sio hela. Unajua team za EPL for instance zinawekeza sh ngapi.? pesa za kulipa wachezaji kila wiki, maintenance za viwanja vyao, gharama za usafiri, malazi ya wachezaji wakiwa kambini, na experience zingine.?

Je kombe linathamani kuzidi gharama wanazotumia kushindania.?
Duh kwahio timu za EPL zinashiriki ili zipate kombe tu?! Ha ha ha kazi ipo.
 
Tuache uongo jamani, ni tonge lipi ambalo Tz kanyang’anywa.? Unaeza chukia serikali lakini kuwa mkweli usipotoshe jamii ati kwasababu serikali iliyopo madarakani hauipendi.
Tuache sababu za Dangote kutowekeza Tz maanake kila mtu anasema lake. Honestly unataka kusema Dangote angewekeza Tz tusingenufaika? Na kuacha kuwekeza Tz hatujapoteza kitu?
 
Point of correction, "...uwekezaji WA Mwarabu...".

Wewe endelea kulia tuu... Sina Cha kukusaidia hapo!

Uwekezaji wa Amsons ni faida kwa Tanzania. Kama pia Taifa gas inavyochukua soko la Gas kunyaland na kuirudisha pesa nyumbani Tanzania.
 
Back
Top Bottom