stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 39,679
- 39,988
Chukua jembe ukalimeIchoboy kwani ulioa bibi mwingine ?.. 🤣🤣🤣umechanuka pro max . Whatever you are doing, don’t quit . I can’t wait to read more from you … very interesting … 🤯🤯🤯
Mnaojua what went on behind the scene kwanini mnaongea kwa mafumbo? Una maana Vittol project was on before Kasongo kuibuka na Dangote?Watu walikuwa washatia mkono kwenye sufuria la Vittol halafu anakuja mtu anasema Tanga lazima uchanganyikiwe kitumbua kinataka kupotea hivihivi kwa kauli isiyo ya kiitifaki.
Sasa unaniuliza mimi pesa za Mke wa GSM?unaniuliza mm kaulize wapiga kura kila kichwa kimoja 2800 tsh na pesa zilimwagwa mitaani na vocha za bundle juu alaf tumepata faida gani in return? mke wa gsm pekee alitoa zaidi ya 25m vipi matajiri wengine na serekali kwa ujumla?
Ila bro kwenye hii ya dangote binafsi naona sawa,sisi tuna bandari na ardhi kubwa tumetoa,uganda wana mafuta,dangote angekuja na pesa,pale kenya walikuja kwa kuoffer kitu gani?shida hii nchi sijui tumekuaje bro na mm nimeamini uchawa ni catastrophe ya nchi hii yani 17b usd investment mtu anakwambia tusingefaidika 😂😂😂😂
Anaitwa Patrick?Okay relax PatrickView attachment 3696477
alaf mtu kisa ni chawa anasema tanzania isingeneemeka na dangote project😂😂
View: https://www.instagram.com/p/DewPnv0j8lB/?img_index=5&srtk=MW0xZm5wYjF5ZzN6aQ==
Which county do you want to compare with? Just pick one county out of the 47.Tuzilinganishe basi ground, tuone, fala mwenzako alileta huu mjadala juzi kati akaacha ndala.
Kijana wenu ameolewa.Watanzania genuine Sasa hivi ndio tunapangilia sera za vijana wa kunyaland hapo. Kijana wetu Isaya anamtuma Charlene kumpangia Kasongo namna atawapanga mafala wa slums.