Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

😁😁
IMG_20261014_115733.jpg
 
😁😁


 
Kundi kubwa la wafuasi wa Chadema ndio limemwagwa mitandaoni kutoamaoni ya hivi pamoja na watu wanaopinga serikali kama ilivyokwa Ichoboy kwa sasa.

Hali hii ilikuwa hivi kipindi cha Magufuli kwa watu waliompinga Magufuli na ndio ilivyo kwa watu wanao mpinga Samia.
Binafsi nampinga sana Samia lakini siwezi kuwa muongo or kuja na data za kupika just kuipaka matopeserikali ninayo ipinga. Nasifia wanapo fanyavyema na nakosoa wanapofanya vibaya.

Sasa kwa mjinga yeyote asiyejua or kafail kutambua siasa za Tanzania ataishia kujipa moyona ujinga wa kuokota matamshi ya kijinga mitandaoni.

All-in-all, hakuna taifa lililo endelea watu wake wanakifa na njaa. Hakuna taifa lililo piga hatua kiuchumi lisolo jitosheleza kwa chakula. Hakuna taifa linaloweza toka handharani na kuwa proud na maendeleo kama ni taifa linalotegemea chakula cha msaada.

Kama taifa hili lipo, basi ni taifa la watu wapumbavu sana.
 
Back
Top Bottom