Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Also Boss wa Miss Grand International huyo Mthailand aliyekuja Tanzania ni mmoja wa Maboss na wamilik wa Miss Universe

Toka Kibera mdogo wangu, unapitwa na mengi
So Howz that to do with anything. If the boss of Simba sports bought Kigoma FC does that make Kigoma same level as Simba ?… wacha Ujinga …🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mzee. Siasa zako hizo za maji taka sizitaki. Unaujua moto wangu, nikikugeuzia kibano ninauhakika utaniweka kwenye ignore list. Ninakujua personally na picha zako ninazo. Usinijaribu.
mm hata ukinijua itsaidia nn, au ndio italeta maendeleo 😂😂😂😂😂😂 picha zangu na personally ndio itasaidia nn
 
Huna facts zozote, unaandika uongo na kutaka kuchafua watu usiowajua.
I told you ninakujua binafsi. Na tulishawahi kukutana mara kibao tu lakini wewe hunijui
wewe kunijua haisaidii kuleta maendeleo wala haitosaidia kupunguza umaskini. tuishi na tuongee uhalisia wa sasa, mm sina muda wa kukujua ww kwasababu huna faida kwangu mzee, niache kumjua demu wangu nikujue wewe 😂😂😂😂😂😂
 
Hiyo budget ya 750m iko wapi?

Share hapa ushahidi nikusaidie kupinga.
unaniuliza mm kaulize wapiga kura kila kichwa kimoja 2800 tsh na pesa zilimwagwa mitaani na vocha za bundle juu alaf tumepata faida gani in return? mke wa gsm pekee alitoa zaidi ya 25m vipi matajiri wengine na serekali kwa ujumla?
 
mwaiofhawaii cant relate 🤣🤣🤣 he cant travel from mathare to kampala non stop on rail 🤣🤣🤣

View: https://youtu.be/2GOepAfJMW8

Mbeya has the best beautification of roads in Bongo …..🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
IMG_0301.jpeg
 
ameajiri wakenya? 🤣 🤣 🤣 🤣 akishalipa kodi hujui hio hela inarudi nje ya nchi 🤣🤣🤣 analipa kodi na pesa yako wewe alafu anaiconvert kwenda dolla kurudisha kwao 🤣🤣🤣
wewe ulifkiria wameajiriwa watanzania ambao wameacha professionalism wamegeuka kua machwa wakusifia upuuzi😂
 
$40k ni mil 85????
unatumia 750m kusupport upuuzi alaf unaambulia 40,000 usd ambayo anapata jehan na sio nchi, so in return tumepata nn?? zaidi ya mashoga kwenda kukata mauno uwanja wa ndege, au ww unafkiri wale wamekwenda bure pale? malaya wote wa mjini kuwepo pale unafkiri wameenda bure pale???😂😂😂😂😂😂😂
 
alafu amnaga kitu kama international investment, wale wanaweka ela wanataka ela yao irudi 🤣 🤣 mtu anawekeza mfano kwenye hoteli, hajaja pale kudonate ela amekuja kufanya biashara ela yake irudi arudishe kwao, ambayo hio hela ilitakiwa ibaki apa apa, sasa usione kama kuita wawekezaji ni sifa sana bi mdada
hakuna businessman amabaye sio profit motivated, so hakuna return ya mwaka mmoja wa investment kubwa inaeza chukua hata 10yrs ndio aanze kula faida, ndio maana unaona hua tunagombania waje kuekeza mfano mzuri dangote
 
Mbona kinyongee sana sasaa....

Hiyo tax ndio ataichukua Tena kwa mlango wa nyuma kufidia gharama za uwekezaji wake. Ni kuwatumikisha tu kama manamba hapo. HQ ya Amsons na familia yake wako wapi? Bhas faida yote ndio inakwenda hukoo...
Endelea kishangilia kampuni ta Mwarabu. By the way how do acquisition of Oryx energy by Amsons help the ordinary Tanzanian?
 
Back
Top Bottom