Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hio habari umetoa wapi? Tuma source
Mbna kuna video tushapost uku investors wakihoji where crude will come from, there was a video ilikua inauliza why rwanda and ethiopia havent made a transaction yet mpaka sasa

i think some kenya guy replied akasema wakishindwa kununua we will buy all the 30%
 
Weka link ama source ya report ambayo inasema hivi. Wacha kukimbia na kuniambia I think because clearly you don’t think..
IMG_4683.jpeg
 
Ni kweli hata mm sikubalian na serikali ya wahuni iliyopo madarakani ila naipenda Nchi yangu Tanzania huniambii kitu serikali zitapita japo kwa maumivu sina nchi nyingine tofauti na Tanzania Tangu Mwl had Id amini mama zimepita ngapi ni swala la mda tu
Kwahiyo ichoboy01 cku hz ameungana na wakenya? Duh waafrika kwa unafki hatujambo, yn hukubaliani na serikali ndo inafanya uponde nchi yako 😄😄😄😄😄
 
Ni kweli hata mm sikubalian na serikali ya wahuni iliyopo madarakani ila naipenda Nchi yangu Tanzania huniambii kitu serikali zitapita japo kwa maumivu sina nchi nyingine tofauti na Tanzania Tangu Mwl had Id amini mama zimepita ngapi ni swala la mda tu
mwanaetu alifukuzwa vyeti feki itakua bado ana machungu
 
Back
Top Bottom