ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,216
- 163,890
Latest stats zimeingia. Yuko wapi ule jamaa wa ccm propaganda
View: https://x.com/stats_wire/status/2098763295159103810?s=46
maskini nchi yangu sijui imepatwa na nn 🥺
Latest stats zimeingia. Yuko wapi ule jamaa wa ccm propaganda
View: https://x.com/stats_wire/status/2098763295159103810?s=46
na hawa je ??? sio majobless tena??
View: https://x.com/mzalendo_taifa/status/2104132064421482977?s=46
kwan si walishapewa onyo wahame we vp alafu nani anataka mji ambao kila sehem mtu anauzana machinga wa huku mbona huwaoneshi wanavobomolewa vibanda vyao na hawana pakwenda wamebakia kulia
wamachinga wako wangapi nchi hii?? kuna utofaut gani wa idadi ya wamachinga na bodaboda au unafkiri watu humu ni vilaza🤣we kipara unalinganisha kampuni kufa na vibanda kuvunjwa aiseee
sasa wewe unatuletea post ya 2021 ili iwaje sasa
waende wapi??? umewataftia maeneo yenye tija?? je mali zao kuharibiwa nani atawapa tena mitaji ????kwan si walishapewa onyo wahame we vp alafu nani anataka mji ambao kila sehem mtu anauza
Hujui kuwa ujenzi unaendelea?Hii December haijawai fika 🤣
mtafutieni any red tshirt avae next match bana
View: https://x.com/AbalaWilliam/status/2103919457483538913?s=20