Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

SGR Kisumu Terminal is under excavation.

1000416254.jpg
1000415190.jpg
1000416258.jpg
1000416256.jpg
1000416257.jpg
1000416255.jpg
 
Halafu jamaa hawa ni mafala. Si wange construct kitu simple kama rapid bus kuelekea kwenye stadiums!?
😆😆 wanataka wafanane na Morocco eti. Jirani anachekesha sana, angalia upuuzi wanaoujenga sasa, kazi mbovuu. Wanatandika taruma juu ya udongo aisee. Mvua zikinyesha kali reli yao itasombwa na maji.
 
Ebu tuonyeshe formula ya kujenga rail tuone. I think you are both foolish and idiot at the same time.
You are the one who is foolish and impudent at the same time. Hapo paletakiwa pachimbwe kidogo pawekwe msingi wa layer ya kokoto chini kuja juu then ndio pashikizwe na mataruma ya reli. Nakueleza kwasababu nimeona hilo TRC mpuuzi wewe. Reli gani inajengwa vile!?
 
Ebu tuonyeshe formula ya kujenga rail tuone. I think you are both foolish and idiot at the same time.
Jifunzeni hapo chini,huo ni wakati TRC inaboresha MGR kwa kung'oa reli ya zamani na kuweka mpya. Kazi 90% tumefanya wenyewe waswahili. Umeona hiyo layer ya kokoto hapo chini wanapochimbua reli!? Ndio ilitakiwa muweke huo ujazo kesha ndio mshindilie mataruma ya reli.
Nyie mnatandika mataruma kisengesenge.
Screenshot_2026-09-26-22-57-50-32_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Sasa kwa nini niumie na refinery inayojengwa Kenya wakati na sisi tunajenga yetu
1. Mnajenga lini?
2. Other than Tanga storage tanks zenye pesa haijapatikana, nini ingine imepangiwa?
3. Ata mkijenga hii imaginary Tanga refinery, bado yenye imepangwa ni 10% capacity ya Dangote Lamu.
 
You are the one who is foolish and impudent at the same time. Hapo paletakiwa pachimbwe kidogo pawekwe msingi wa layer ya kokoto chini kuja juu then ndio pashikizwe na mataruma ya reli. Nakueleza kwasababu nimeona hilo TRC mpuuzi wewe. Reli gani inajengwa vile!?
You are not worth my time.
 
Back
Top Bottom