nairobi cbd is no longer as it used to be.
kwa sasa cbd imejaa uchafu na hawkers(wamachinga) kila kona wakigombania nafasi za kuchuuza bidhaa zao.
jambo lingine ambalo ni la hatari zaidi ni kwamba kwa sasa cbd imevamiwa na vijana majobless wanaotembea kwa makundi wakipora watu na kuwapiga kabari wapita njia mchana kweupe.
kwa mtz yoyote anatakaye tembelea nairobi hivi karibuni, achukue tahadhari.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122]