Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni hatari mkuu, Egypt wana dunia Yao aisee, Angalia tu Namna Cairo ilivyo, halafu unakutana na ignorant mkunya fukara Hana exposure anakwambia nairobi this nairobi that . Nairobi ni Kamji kadogo kamejaa ufukara, matatu chafu sana, slums tupu na machokoraa kila kona.

Cairo, Masri. A true definition of concrete Jungle , Africas largest City.
View attachment 3664974View attachment 3664982View attachment 3664980View attachment 3664983View attachment 3664984
Ati wenyewe wanakuambia “Capital city of Africa” labda capital ya ufukara na slums. 😂😂😂
 
downloadfile-46.jpg
downloadfile-128.png

🤮🤮
 
11K fans for Such big game and this is their best club ? mapato ni kama TZS 70m😅 meaning kiingilio ni TZS 5K😀, Mechi kama hizi kwa simba viingilio vinaanzia TZS200k, 150KVIP, 30k, 20K na 10k kulingana na Jukwa na uwanja wa 60k unajaa.
hawa watu wannahagaika uwanja wa 60k wa nini ikiwa their maximum they can do is 11K fans?
 
Ni hatari mkuu, Egypt wana dunia Yao aisee, Angalia tu Namna Cairo ilivyo, halafu unakutana na ignorant mkunya fukara Hana exposure anakwambia nairobi this nairobi that . Nairobi ni Kamji kadogo kamejaa ufukara, matatu chafu sana, slums tupu na machokoraa kila kona.

Cairo, Masri. A true definition of concrete Jungle , Africas largest City.
View attachment 3664974View attachment 3664982View attachment 3664980View attachment 3664983View attachment 3664984
Hapa ukileta Darislum na dream houses zao itakaa Mbeya.
 
11K fans for Such big game and this is their best club ? mapato ni kama TZS 70m😅 meaning kiingilio ni TZS 5K😀, Mechi kama hizi kwa simba viingilio vinaanzia TZS200k, 150KVIP, 30k, 20K na 10k kulingana na Jukwa na uwanja wa 60k unajaa.
hawa watu wannahagaika uwanja wa 60k wa nini ikiwa their maximum they can do is 11K fans?

11K fans for Such big game and this is their best club ? mapato ni kama TZS 70m😅 meaning kiingilio ni TZS 5K😀, Mechi kama hizi kwa simba viingilio vinaanzia TZS200k, 150KVIP, 30k, 20K na 10k kulingana na Jukwa na uwanja wa 60k unajaa.
hawa watu wannahagaika uwanja wa 60k wa nini ikiwa their maximum they can do is 11K fans?
Ila Hamna project yenye imeuma Bongolala Kama Talanta. 😂😂😂😂
Haitojengwa
Haitofanana na render
Viti za bakuli
Finishing poor
Haitokuwa na hybrid pitch
Screen Kama za nyumba
Shape Kama sufuria
Hamtoweza kumaintain
Mmeweka kila kitu Nairobi
Mmepigwa na Mchina
Siyo yenu, ni Mali ya Mchina
Hamtoweza kujaza uwanja

😂😂
Yani mauchungu Hayaishi. Mkiwa proven wrong, mnaingia kwa lingine
 
Hapa ukileta Darislum na dream houses zao itakaa Mbeya.
There’s no any African country including South Africa that can match the standards of Egyptian cities zenye wanaziweka hivi sasa, Egypt sahii wanaeka standards kubwa kuzidi miji karibu zote za US except miji michache tu miji minne hadi mitano.

Wenyewe wanadai wana reclaim their position in the world kama ilivyokua zamani ..

As we are talking right now kuna miji zaidi ya 10 huko Egypt ipo under construction, na standards ni zile za miji mikali ya Middle East.
 
Ni hatari mkuu, Egypt wana dunia Yao aisee, Angalia tu Namna Cairo ilivyo, halafu unakutana na ignorant mkunya fukara Hana exposure anakwambia nairobi this nairobi that . Nairobi ni Kamji kadogo kamejaa ufukara, matatu chafu sana, slums tupu na machokoraa kila kona.

Cairo, Masri. A true definition of concrete Jungle , Africa’s largest City.
View attachment 3664974View attachment 3664982View attachment 3664980View attachment 3664983View attachment 3664984
Sehemu pekee unaweza kupata concrete jungle ya hivi hapa East Africa ni Dar es Salaam Tanzania 🇹🇿🇹🇿
 
There’s no any African country including South Africa that can match the standards of Egyptian cities zenye wanaziweka hivi sasa, Egypt sahii wanaeka standards kubwa kuzidi miji karibu zote za US except miji michache tu miji minne hadi mitano.

Wenyewe wanadai wana reclaim their position in the world kama ilivyokua zamani ..

As we are talking right now kuna miji zaidi ya 10 huko Egypt ipo under construction, na standards ni zile za miji mikali ya Middle East.
Who asked you?
 
Kufikia standards za miji mikubwa ya USA nako ni bado sana. Sidhani kama it will ever happen during our lifetime
 
Ila Hamna project yenye imeuma Bongolala Kama Talanta. 😂😂😂😂
Haitojengwa
Haitofanana na render
Viti za bakuli
Finishing poor
Haitokuwa na hybrid pitch
Screen Kama za nyumba
Shape Kama sufuria
Hamtoweza kumaintain
Mmeweka kila kitu Nairobi
Mmepigwa na Mchina
Siyo yenu, ni Mali ya Mchina
Hamtoweza kujaza uwanja

😂😂
Yani mauchungu Hayaishi. Mkiwa proven wrong, mnaingia kwa lingine
Mzee wa are building 3 New Modern Stadia at Once, besides we Have the Largest & Modern stadium with 65K seating Capacity since 2006, FYI.
 
Back
Top Bottom