concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,994
- 15,455
Ni kama tz washausoma mchezo spidi ya uwanja wa Dodoma si haba , kufikia December watakuwa mbali sananliisoma hio mpaka wanatia huruma, kwa kifupi kasarani is gone, na iliobaki ndo kwanza wanarudia kupanda nyasi 🤣 🤣 🤣 we are left with 2 months and 3weeks tohandle over everything 🤣🤣🤣🤣 atleast uganda ashamaliza mapema yuko zake anarembesha barabara na kumalizia namboole. BTW unajua who was the reason CHAN was postponed? this will be a lesson next time tukiwa tunachagua wa kupatner nae