Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kufikia standards za miji mikubwa ya USA nako ni bado sana. Sidhani kama it will ever happen during our lifetime
Egypt ni habari nyingine kaka, kimuondombinu Egypt haifanyi catch up na miundombinu ya kizamani ya miji za US,tunavyoongea hivi sasa Egypt inajenga miundombinu ya dunia ya leo inayojengwa kama kwene miji za China n some cities in middle east.

Hii hapo walizindua hivi karibuni the largest millitary HQ on earth. 👇🏾 ipo kwenye mji wao mpya New Cairo. YouTube hiyo New Cairo n get to see what they are really doing there , halafu uje uniambie hapa kama upo mji wowote wa US wenye uko na hizo standards zenye wanaweka pale
IMG_9782.jpeg
..
 
You are calling the 35K seater stadium tiny yet the maximum fans turnout for your poor top club in your farmers league is 11k.
Tell us which football matches in Tanzania fill stadiums ukiondoa ile sarakasi ya kariakoo
 
Egypt ni habari nyingine kaka, kimuondombinu Egypt haifanyi catch up na miundombinu ya kizamani ya miji za US,tunavyoongea hivi sasa Egypt inajenga miundombinu ya dunia ya leo inayojengwa kama kwene miji za China n some cities in middle east.

Hii hapo walizindua hivi karibuni the largest millitary HQ on earth. 👇🏾 ipo kwenye mji wao mpya New Cairo. YouTube hiyo New Cairo n get to see what they are really doing there , halafu uje uniambie hapa kama upo mji wowote wa US wenye uko na hizo standards zenye wanaweka paleView attachment 3665159..
We already know about Egypt's new capital. Some of us knew about it long before construction began. Peleka excitement yako huko. Thread ni ya Nairobi vs Darislum. Both cities are nothing to Cairo or NAC and no one is disputing that. Now, go back to telling us what is new in the shamba la mihogo city of yours. Juzi ulishindwa kupost towers over 20 floors in Mapanga.
 
We settled the viewer turnout thing in last year's CHAN. It's dead and buried.
Chan, Chan si ni Kagame cup iliyochangamka 😃😃😃
Game ya Jana was continental champions league, yaani kama vile game za UEFA champions League, yet turnout ilikuwa 11k, na kiingilio ilikuwa only Ksh 250.
Meanwhile, Mashabiki wa Simba walioenda Lilongwe kushangilia timu Yao Jana walikuwa more than your biggest team playing at home yesterday.

View: https://youtu.be/LaEVM0nHLzw?si=64wlYApE8BCox3Tw
 
Kwamba kuna wakunya wanaamini waliwahi kuwa juu ya Tz kwenye mambo ya railway transport? Au ndio wanalishwa Matangopori kuwa they are above TZ in everything
Hata leo ukiwauliza watakwambia SGR rail system yao ni modern kuliko ya Tanzania 🤣🤣🤣🤣. Hawa watu ni wa kuwaombea wamebaragazwa sana na wanasiasa.
 
Kwanini uondoe Kariakoo, is it in Somalia ?
You mentioned top club which is mashemeji derby in Kenya (Gor vs AFC). Everytime these two teams meet whether it's Nyayo or Kasarani the stadiums get filled up. Where did you get your 11k figures from?
 
Back
Top Bottom