Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni hatari mkuu, Egypt wana dunia Yao aisee, Angalia tu Namna Cairo ilivyo, halafu unakutana na ignorant mkunya fukara Hana exposure anakwambia nairobi this nairobi that . Nairobi ni Kamji kadogo kamejaa ufukara, matatu chafu sana, slums tupu na machokoraa kila kona.

Cairo, Masri. A true definition of concrete Jungle , Africa’s largest City.
View attachment 3664974View attachment 3664982View attachment 3664980View attachment 3664983View attachment 3664984
hawa jamaa ela wanayo alafu hawana kelele, si unaona alalhy tu yenyewe usajili mchezaji mmoja $10M
 
Hii mitandao imejua kuwaanika mnoo japo baadhi hasa wa humu bado wapo denial stage. 😂😂😂
si ndo vizuri ili waskimbie, si una thread yenyewe wamebaki sjui 3 walikuepo wengi apa ila ndo ivo picha zilivoanza kutoka mmoja baada ya mwingine wakakimbia, na hali ilivo Teargass nae atakua kakimbia maana serikali imesema usionekane na maziwa pack 2 yeye kaenda kukamua ngombe wa watu
 
Tangu nimuambie apost turnover ya bank statements yake hajaonekana tena humu. 😂😂😂
 
Jamaa alienda kudanganya wenzake eti kaambiwa grass ni world class 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
1788798102231.png

1788798132183.png
 
You mentioned top club which is mashemeji derby in Kenya (Gor vs AFC). Everytime these two teams meet whether it's Nyayo or Kasarani the stadiums get filled up. Where did you get your 11k figures from?
Ndio nakwambia Simba Fc alone sells out 60k stadium even days before the Game .
 
Ni hatari mkuu, Egypt wana dunia Yao aisee, Angalia tu Namna Cairo ilivyo, halafu unakutana na ignorant mkunya fukara Hana exposure anakwambia nairobi this nairobi that . Nairobi ni Kamji kadogo kamejaa ufukara, matatu chafu sana, slums tupu na machokoraa kila kona.

Cairo, Masri. A true definition of concrete Jungle , Africa’s largest City.
View attachment 3664974View attachment 3664982View attachment 3664980View attachment 3664983View attachment 3664984
Wacha vya wenyewe sasa, Post Dareslum. Ama umetokea Misri? Umesahau kwenu 😅
1788801244242.jpeg
 
Chan, Chan si ni Kagame cup iliyochangamka 😃😃😃
Game ya Jana was continental champions league, yaani kama vile game za UEFA champions League, yet turnout ilikuwa 11k, na kiingilio ilikuwa only Ksh 250.
Meanwhile, Mashabiki wa Simba walioenda Lilongwe kushangilia timu Yao Jana walikuwa more than your biggest team playing at home yesterday.

View: https://youtu.be/LaEVM0nHLzw?si=64wlYApE8BCox3Tw

Wacha excuse. AFCON pia mtakuja tu na excuse. Hapo kwenu ni Kariakor derby pekee ndio watu wanaingia stadium kuwatch. Zingine zote ni ziro. Hiyo CHAN mlishinda humu mkisema itatuvua nguo, after imekuwa more successful Kenya kushinda Vumbistan mnasema ni Kagane cup iliyochangamka. I foresee the same in AFCON.
 
Man Apparently this dude is danm rich, so rich,
No wonder sources rank him the most corrupt president in the world.

View: https://vt.tiktok.com/ZSqMaS2n4/

The difference is, here we dare talk. Huko kwenu si ex VP alijaribu kuongea hadi saa hii hawezi patikana? 🤣 🤣 🤣
Na hiyo constitution yenu ya Umbwakni who will dare talk about Suluhu and Kikwete's wealth? 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom