Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,310
- 35,835
Karia alifanya kosa kubwa la kutojiamini hadi akatoa wazo afcon tuandae na hizi nyang'au,wenyewe peke yetu tunaweza kuandaa peke yetu hii event
Karia alifanya kosa kubwa la kutojiamini hadi akatoa wazo afcon tuandae na hizi nyang'au,wenyewe peke yetu tunaweza kuandaa peke yetu hii event
🤣🤣🤣
Sijui walipewa bure hizi pavements. 😂😂 very low standards. 👇🏾View attachment 3664836
You mean these ones?Fundi Kamau alipewa ajenge!
You have them inside your stadium na hizi ni zile zenye wanajenga mitaani. 😂😂😂😂👇🏾You mean these ones?
View attachment 3664894
Egypt wame set bars very high , no single African country can meet them. Wewe mmarekani pori mwaiofhawaii njoo ujifunze standards za miji ya Africa as of 2026. This is Al alamein city Egypt. 👇🏾
View: https://www.instagram.com/reel/Dc0_nJxxNWO/?stkn=MTJldWRzcDVyMWVwZw==.
Ati wenyewe wanakuambia “Capital city of Africa” labda capital ya ufukara na slums. 😂😂😂Ni hatari mkuu, Egypt wana dunia Yao aisee, Angalia tu Namna Cairo ilivyo, halafu unakutana na ignorant mkunya fukara Hana exposure anakwambia nairobi this nairobi that . Nairobi ni Kamji kadogo kamejaa ufukara, matatu chafu sana, slums tupu na machokoraa kila kona.
Cairo, Masri. A true definition of concrete Jungle , Africas largest City.
View attachment 3664974View attachment 3664982View attachment 3664980View attachment 3664983View attachment 3664984
Hiyo ilikuwa kabla ya utandawazi lakini kwa sasa hawawezi kudanganya tena😁Ati wenyewe wanakuambia “Capital city of Africa” labda capital ya ufukara na slums. 😂😂😂
Hii mitandao imejua kuwaanika mnoo japo baadhi hasa wa humu bado wapo denial stage. 😂😂😂Hiyo ilikuwa kabla ya utandawazi lakini kwa sasa hawawezi kudanganya tena😁
Come 10 years that place will be overwhelmed, Akili mtu wangu.
Hapa ukileta Darislum na dream houses zao itakaa Mbeya.Ni hatari mkuu, Egypt wana dunia Yao aisee, Angalia tu Namna Cairo ilivyo, halafu unakutana na ignorant mkunya fukara Hana exposure anakwambia nairobi this nairobi that . Nairobi ni Kamji kadogo kamejaa ufukara, matatu chafu sana, slums tupu na machokoraa kila kona.
Cairo, Masri. A true definition of concrete Jungle , Africas largest City.
View attachment 3664974View attachment 3664982View attachment 3664980View attachment 3664983View attachment 3664984
11K fans for Such big game and this is their best club ? mapato ni kama TZS 70m😅 meaning kiingilio ni TZS 5K😀, Mechi kama hizi kwa simba viingilio vinaanzia TZS200k, 150KVIP, 30k, 20K na 10k kulingana na Jukwa na uwanja wa 60k unajaa.
hawa watu wannahagaika uwanja wa 60k wa nini ikiwa their maximum they can do is 11K fans?
www.facebook.com
Ila Hamna project yenye imeuma Bongolala Kama Talanta. 😂😂😂😂11K fans for Such big game and this is their best club ? mapato ni kama TZS 70m😅 meaning kiingilio ni TZS 5K😀, Mechi kama hizi kwa simba viingilio vinaanzia TZS200k, 150KVIP, 30k, 20K na 10k kulingana na Jukwa na uwanja wa 60k unajaa.
hawa watu wannahagaika uwanja wa 60k wa nini ikiwa their maximum they can do is 11K fans?
www.facebook.com
Sasa hiyo Cairo piga picha na uswazi za Dar zilizosambaa Kila mahali na pit latrines zakeAti wenyewe wanakuambia “Capital city of Africa” labda capital ya ufukara na slums. 😂😂😂
There’s no any African country including South Africa that can match the standards of Egyptian cities zenye wanaziweka hivi sasa, Egypt sahii wanaeka standards kubwa kuzidi miji karibu zote za US except miji michache tu miji minne hadi mitano.Hapa ukileta Darislum na dream houses zao itakaa Mbeya.
Sehemu pekee unaweza kupata concrete jungle ya hivi hapa East Africa ni Dar es Salaam Tanzania 🇹🇿🇹🇿Ni hatari mkuu, Egypt wana dunia Yao aisee, Angalia tu Namna Cairo ilivyo, halafu unakutana na ignorant mkunya fukara Hana exposure anakwambia nairobi this nairobi that . Nairobi ni Kamji kadogo kamejaa ufukara, matatu chafu sana, slums tupu na machokoraa kila kona.
Cairo, Masri. A true definition of concrete Jungle , Africa’s largest City.
View attachment 3664974View attachment 3664982View attachment 3664980View attachment 3664983View attachment 3664984
Concrete jungle in KariakooHapa ukileta Darislum na dream houses zao itakaa Mbeya.
Who asked you?There’s no any African country including South Africa that can match the standards of Egyptian cities zenye wanaziweka hivi sasa, Egypt sahii wanaeka standards kubwa kuzidi miji karibu zote za US except miji michache tu miji minne hadi mitano.
Wenyewe wanadai wana reclaim their position in the world kama ilivyokua zamani ..
As we are talking right now kuna miji zaidi ya 10 huko Egypt ipo under construction, na standards ni zile za miji mikali ya Middle East.