Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huu c uwanja wa soccer pekee ndo mana wameweka pitch kubwa, hapo zikipigwa chaki za football ndo utanielewa namaanisha nn, mchezaji lazima umuone kwa mbaliiView attachment 3658753

Uwanja wa soccer pekee huu hapa unaitwa Fumba stadium upo Zanzibar,Tz. Angalia pitch size alafu linganisha na wa talanta View attachment 3658755
Viwanja vya design ya Fumba vipo vichache sn Africa.
Your stadium is just small idiot ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ.

Talanta pitch is a standard size for all soccer pitches.
 
:FIRE: ๐Ÿ˜Ž:FIRE:
1000025026.gif
 
ndo uhalisia sasa unataka kulia ama ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ kwamba ulidhan kutokuweka running tracks ndo unaona mechi vizuri au ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Did you see any stadium with a running track at the world cup?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜…
 
when you finally find out your $1.3B doesnt still feel modern ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
1787911460023.png
 
Opening mpaka sasa Uganda ndo anapewa kipaumbele, BUT only pale namboolee because unatakiwa kua na zaidi ya 45K seats, so yupo kwenye ujenzi, also we are backing uganda for the opening japo president anataka iwe apa

View: https://youtu.be/8iOT6l7UFfA?t=1862

Uganda atapewa Finale...

Unajua opening ndio mashindano yenyewe. Ukiboronga hapo ndio unaharibu mashindano yote. Sasa kwa uzoefu wa kuandaa na vibes la mashabiki, miundombinu na factors zote bhas Tanzania inakamata nafasi ya juu kuliko wengine.
 
the whole AFCON opening match ndo mlango wa kila kitu, na pia na nchi yako inacheza pia everyone on earth is watching, motsepe anatamani iwe bongo but tunaenda kwa voting, uganda pia anataka na kwakua tuna ukaribu zaidi na Uganda we voted for them, however finals ndo bado ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ and whats funny ni huenda ikachezeka zenji
 
ndo uhalisia sasa unataka kulia ama ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ kwamba ulidhan kutokuweka running tracks ndo unaona mechi vizuri au ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Ndo mana kuna mdau humu wakati talanta inajengwa alizani ungewekwa running track kwasababu eneo liliachwa kubwa sn katikati, ila nahisi wamefanya vzr kuacha eneo kubwa katikati, wakitaka kuweka running track wanaweka.
 
Your stadium is just small idiot ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ.

Talanta pitch is a standard size for all soccer pitches.
Pitch ya football huwa ile ile mzee, 100 au 120, sizungumzii majengo nazungumzia pitch ya talanta ni kubwa, mmefanya kama reserve, baadae mkitaka kuweka running track mnaweka, ila Fumba stadium hairuhusu running track, ukitaka hivyo itabidi ubomoe uwanja ujenge upya.
 
Back
Top Bottom