Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ndo uhalisia sasa unataka kulia ama ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ kwamba ulidhan kutokuweka running tracks ndo unaona mechi vizuri au ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Ndo mana kuna mdau humu wakati talanta inajengwa alizani ungewekwa running track kwasababu eneo liliachwa kubwa sn katikati, ila nahisi wamefanya vzr kuacha eneo kubwa katikati, wakitaka kuweka running track wanaweka.
 
Your stadium is just small idiot ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ.

Talanta pitch is a standard size for all soccer pitches.
Pitch ya football huwa ile ile mzee, 100 au 120, sizungumzii majengo nazungumzia pitch ya talanta ni kubwa, mmefanya kama reserve, baadae mkitaka kuweka running track mnaweka, ila Fumba stadium hairuhusu running track, ukitaka hivyo itabidi ubomoe uwanja ujenge upya.
 
Ebu tuambie ya Talanta ni ngapi๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
 
Uganda atapewa Finale...

Unajua opening ndio mashindano yenyewe. Ukiboronga hapo ndio unaharibu mashindano yote. Sasa kwa uzoefu wa kuandaa na vibes la mashabiki, miundombinu na factors zote bhas Tanzania inakamata nafasi ya juu kuliko wengine.
Ni kweli kabisa kaka, caf wasije kukosea kuacha kuipa Tz opening match.
 
Pitch ya football huwa ile ile mzee, 100 au 120, sizungumzii majengo nazungumzia pitch ya talanta ni kubwa, mmefanya kama reserve, baadae mkitaka kuweka running track mnaweka, ila Fumba stadium hairuhusu running track, ukitaka hivyo itabidi ubomoe uwanja ujenge upya.
Sawa vuvuzela๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

1000384065.jpg
 
Ndo mana kuna mdau humu wakati talanta inajengwa alizani ungewekwa running track kwasababu eneo liliachwa kubwa sn katikati, ila nahisi wamefanya vzr kuacha eneo kubwa katikati, wakitaka kuweka running track wanaweka.
i think because wanachezaga rugby pia, maybe ndo maaana, however yule wa kule juu na aliepo chini kabisa nawaonea huruma ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom