stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 37,960
- 37,535
Opening mpaka sasa Uganda ndo anapewa kipaumbele, BUT only pale namboolee because unatakiwa kua na zaidi ya 45K seats, so yupo kwenye ujenzi, also we are backing uganda for the opening japo president anataka iwe apaMpaka Sasa Tanzania ndio wana uhakika wa kuchezesha game kubwa moja ya nusu fainali. Na hapo ndio tunasubiria tena Either opening au closing... Sana sana tutapewa opening.
Na tarehe 14 September ndio watatamgaza nani ata host kituo Cha kurushia matangazo Cha pamoja. Na hii ipia itakuwa pale Tabata kwa AZAM.
View: https://youtu.be/8iOT6l7UFfA?t=1862