Street Hawker
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 637
- 1,020
Me Uganda mwenzenu bado siwaamini kabisa, uganda bado sn, hata viwanja vyake naona vimekaa kijuakali flan hv.opening match ni Uganda anachukua ila amalize namboole
Me Uganda mwenzenu bado siwaamini kabisa, uganda bado sn, hata viwanja vyake naona vimekaa kijuakali flan hv.opening match ni Uganda anachukua ila amalize namboole
kwan ulikua unategemea kufanya stadium nzima? 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Soccer and Rugby uses similar pitch size. Hata hapo Fumba rugby can be played there.Si ndiyo mana nawaambia hapa uwanja wao sio wa soccer pekee kama wa Fumba.
Nyamwezi wacha kujiaibisha mbele ya umma. Huu uwanja mlitabiri haitajengwa. Right now it's 95% complete na bado inawasumbua akili.Huu c uwanja wa soccer pekee ndo mana wameweka pitch kubwa, hapo zikipigwa chaki za football ndo utanielewa namaanisha nn, mchezaji lazima umuone kwa mbaliiView attachment 3658753
Uwanja wa soccer pekee huu hapa unaitwa Fumba stadium upo Zanzibar,Tz. Angalia pitch size alafu linganisha na wa talanta View attachment 3658755
Viwanja vya design ya Fumba vipo vichache sn Africa.
Endelea kuji console na picha za mbali lkn umenielewa.Kindly show us where running track will be placed here😂😂🤣👇👇
View attachment 3658781View attachment 3658782
Yes but it has to happen ivo for diplomasia, however for kenya we dont really care 😂😂😂😂 Uganda na tanzania ndo waanzilishi wa hii AFCON kenya was later joined by wallace karia baada ya ombi maalum la kuwatoa kwenye FIFA BANMe Uganda mwenzenu bado siwaamini kabisa, uganda bado sn, hata viwanja vyake naona vimekaa kijuakali flan hv.
U songeza kiunyonge aje?kwan ulikua unategemea kufanya stadium nzima? 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Haya tulete picha ya karibu alafu uchore penye unasema running track itawekwa🤣🤣😂Endelea kuji console na picha za mbali lkn umenielewa.
Hawa watu wako desperate hadi inaudhi!According to that idiot then hata Camp nue sio a football stadium juu it's too tall🤣🤣😂👇👇
View attachment 3658752
ni huzuni 😂 😂 😂 sku izi fibre znawekwa holes 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nilikwambia tulia muonyeshwe show mkasemaje 😂😂😂U songeza kiunyonge aje?
Can't you see the matching for making holes is already in the middle of the stadium?🤣🤣😂👇👇
View attachment 3658788
Hebu niambie ww, wachezaji gn wataweza kuhimili ukubwa wa hii pitch kama yote itabidi ichezwe mpiraNyamwezi wacha kujiaibisha mbele ya umma. Huu uwanja mlitabiri haitajengwa. Right now it's 95% complete na bado inawasumbua akili.
Sio uwanja wa soka pekee? Kwa hivyo watakuwa wanaandaa michezi ipi jando na soka na raga?
And talking of pitch size, what's the FIFA recommended size of a football pitch?
sasa sisi tumekosea nn? is there a place tumesema something wrong? 😂😂😂😂😂Hawa watu wako desperate hadi inaudhi!
ngoja tumskie motsepe anasemajeSoccer and Rugby uses similar pitch size. Hata hapo Fumba rugby can be played there.
Tottenham Hotspur stadium usually hosts rugby matches same to Bernabue and all the American stadiums that hosted World cup.
Hakuna stadium yoyote Tanzania with an hybrid pitch nyamaza🤣🤣😂ni huzuni 😂 😂 😂 sku izi fibre znawekwa holes 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nilikwambia tulia muonyeshwe show mkasemaje 😂😂😂
Sio kuudhi mkiambiwa ukweli muupokee kama ulivyo.Hawa watu wako desperate hadi inaudhi!
Pembeni mwa uwanja sio?🤣🤣🤣kwan ulikua unategemea kufanya stadium nzima? 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
So this is what you call big?🤣🤣😂🤣.Hebu niambie ww, wachezaji gn wataweza kuhimili ukubwa wa hii pitch kama yote itabidi ichezwe mpira View attachment 3658789
😂😂😂 ni huzuni, ile mashine kubwa ya kutia nyuzi chini imefanyaje tena 😂😂😂 haipiti katikati tena? 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Pembeni mwa uwanja sio?🤣🤣🤣
View attachment 3658791
una malalamiko mengine? 😂 😂 😂Hakuna stadium yoyote Tanzania with an hybrid pitch nyamaza🤣🤣😂
Wewe unaona nini inafanyika hapa?👇👇
View attachment 3658790