Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama Kasarani haina Hadhi then no Stadium in Tanzania can't even qualify for training sessions πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚
Uwanja pekee wa football kwa hapa East and Central Africa upo Tanzania, unaitwa Fumba stadium, talanta sio uwanja wa football pekee, na ndiyo mana utalazimika kuona wachezaji kwa mbaaaliiii kama viwanja vingi vya ki Africa.
 
Ebu tuonyeshe picha ya hiyo Talanta Stadium unaongelea, cause it seems we might be talking about different stadiumsπŸ€£πŸ€£πŸ˜‚
 
Ni Uganda ama Tanzania? Please tell us one Venue that will host AFCON opening gameπŸ€£πŸ€£πŸ˜‚.
si tushakwambia we are backing Uganda, ama unadhan we are selfish? President anataka iwe tanzania ila kwenye kikao tumesema we are backing Uganda and thats all needed 2 votes are only needed πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
angejua wale kule juu hawaoni chochote πŸ˜‚πŸ˜‚
Hata mimi naona hivoπŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡

1000370411.jpg
 
Mpaka Sasa Tanzania ndio wana uhakika wa kuchezesha game kubwa moja ya nusu fainali. Na hapo ndio tunasubiria tena Either opening au closing... Sana sana tutapewa opening.

Na tarehe 14 September ndio watatamgaza nani ata host kituo Cha kurushia matangazo Cha pamoja. Na hii ipia itakuwa pale Tabata kwa AZAM.
 
si tushakwambia we are backing Uganda, ama unadhan we are selfish? President anataka iwe tanzania ila kwenye kikao tumesema we are backing Uganda and thats all needed 2 votes are only needed πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ingekuwa ishakubaliwa then Kenya couldn't have asked for the opening match.

In short it's safe to say that you had a meeting in your mother's house to back Uganda. The only two votes needed were yours and your mother's πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
 
Back
Top Bottom