stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 35,666
- 34,309
hatuna uwanja kabisa, wanakuja kuchezea kwenye vumbi ๐ ๐ ๐Tanzania only have Makwapa Stadium which hata CAF hawako sure kama they will approve it ๐๐
hatuna uwanja kabisa, wanakuja kuchezea kwenye vumbi ๐ ๐ ๐Tanzania only have Makwapa Stadium which hata CAF hawako sure kama they will approve it ๐๐
Who confirmed it when CAF itself has not confirmed the stadiums?๐คฃ๐คฃ๐๐๐๐๐๐๐ leo mpaka upupu
View attachment 3658707
No priority at all ๐๐๐ infact aondolewa kabisa banaBy the way if you want to know that Tanzania is of no importance in this tournament, just see how they are always the last priority for CAF๐คฃ๐คฃ๐
Talanta ni ya nini tena vile?๐คฃ๐คฃ๐๐Ata talanta pia unatumia darubini, usijisahaulishe kwamba talanta sio wa soccer pekee, ukubwa wa pitch ni sawa na hiyo ya Arusha plus running track, uwanja wa soccer pekee unapatikana Zanzibar, Tz.
Comedy ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐Which stadiums do you have to host matches mingi?๐๐๐คฃ
Tanzania will have 2 Stadiums
Uganda 3 Stadiums
Kenya 3 Stadiums
Nilisahau Amani stadium.4 stadiums not 3
What were your expectations?sasa shida iko wap madame, we were all expecting it kwan didnt i say they will be there this month?
Umesema Talanta mtu anatumia Darubini?๐คฃ๐คฃ๐๐๐Ata talanta pia unatumia darubini, usijisahaulishe kwamba talanta sio wa soccer pekee, ukubwa wa pitch ni sawa na hiyo ya Arusha plus running track, uwanja wa soccer pekee unapatikana Zanzibar, Tz.
Najua hampendi ukweli.Comedy ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐
Look at all these screenshots how they are of poor quality ๐๐๐คฃWhat were your expectations?
Ulifikiria nyasi haingekuwa imemea ๐ ๐
Si uendelee kutuma picha za nyasiView attachment 3658715View attachment 3658716View attachment 3658717View attachment 3658718View attachment 3658719
AI si unajua inadanganya dont take it serious, kwanza how comes a noisy village to only have 10 matches za whole AFCON ๐๐๐๐๐ na wametumia $1.3B for single cowshedWho confirmed it when CAF itself has not confirmed the stadiums?๐คฃ๐คฃ๐๐๐
View attachment 3658714
Wakenya hayo mambo ya ujanja ujanja dunia ishahama huko, huu uwanja wa kipchoge keino ndo uchezewe Afcon kweli??Ebu taja those 3 Stadiums that Tanzania have.
Kenya we have
1. Talanta Stadium
2. Kasarani Stadium
3. Kipchoge Keino Stadium.
look at how this is clear, world class screenshotLook at all these screenshots how they are of poor quality ๐๐๐คฃ
Si nimekutajia hizo kumi ni gani? Ama unataka nikumbushe tena?๐๐คฃ๐คฃ๐AI si unajua inadanganya dont take it serious, kwanza how comes a noisy village to only have 10 matches za whole AFCON ๐๐๐๐๐ na wametumia $1.3B for single cowshed
View attachment 3658722
View attachment 3658725
we mzee kuna namna ya kudeal nao hawa mandezi ivo utajichosha ๐๐ apo unaongea na chokoraa bila kujuaWakenya hayo mambo ya ujanja ujanja dunia ishahama huko, huu uwanja wa kipchoge keino ndo uchezewe Afcon kweli??View attachment 3658726
Kasarani wenyewe hauna hadhi ya Afcon, iliwapasa mjenge viwanja, acheni janjajanja, zishapitwa na wakati.Wakenya hayo mambo ya ujanja ujanja dunia ishahama huko, huu uwanja wa kipchoge keino ndo uchezewe Afcon kweli??View attachment 3658726
Asante kwa picha ya kitambo๐คฃ๐คฃ๐.Wakenya hayo mambo ya ujanja ujanja dunia ishahama huko, huu uwanja wa kipchoge keino ndo uchezewe Afcon kweli??View attachment 3658726
nenda sasa kamtajia AI kuleSi nimekutajia hizo kumi ni gani? Ama unataka nikumbushe tena?๐๐คฃ๐คฃ๐
Kama Kasarani haina Hadhi then no Stadium in Tanzania can't even qualify for training sessions ๐คฃ๐คฃ๐Kasarani wenyewe hauna hadhi ya Afcon, iliwapasa mjenge viwanja, acheni janjajanja, zishapitwa na wakati.
Asante kwa picha ya kitambo๐คฃ๐คฃ๐.
Kipchoge Keino Stadium under construction.
View: https://x.com/KasaraniStadium/status/2093216394917605685