Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,391
- 33,748
Ebu taja those 3 Stadiums that Tanzania have.Tanzania ina viwanja vitatu, kenya wana kiwanja kimoja, uganda nao wana viwili lkn viwili vyenyewe jua kali, unategemea nn?
Kenya we have
1. Talanta Stadium
2. Kasarani Stadium
3. Kipchoge Keino Stadium.