Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

No green space no playing ground no privacy no tranquility no air no sewage hivi mnawezaje kuishi kwenye hizi vertical slums culture! Halafu eti hii ndio upper class 😂😂
No green space no playing ground no privacy no tranquility no air no sewage hivi mnawezaje kuishi kwenye hizi vertical slums culture! Halafu eti hii ndio upper class
images - 2026-07-30T224334.095.jpeg
istockphoto-2190964648-612x612.jpg
IMG_1994.jpeg
manzese-980d6ac6-0f71-4237-b61d-83162fdc3f0-resize-750.jpeg
 
Maku hiyo refinery yenu hata ahituhusu sisi,tunachojua $20 bilioni inaenda kuwekeza tanga,sasa kama pesa yote hiyo haijengwi refinery itakua inajengwa nini maku ww?
Hakuna Refinery inajengwa Tanga. Hata rais wenu anajua hilo hata ndio maana haongelei😂😂🤣
 
Roho lazima ziwaume,tumewapiga chenga ya mwili,walitaka wajichomeke EACOP kwa mgongo wa nyuma 🤣🤣
Wazee wa kujia tia kama ushuzi wa ngomani. Kila wakijaribu kujipenyeza tunawafurusha. 😂😂😂

Taifa lao halina fyucha 😂 sasa wanaforce fyucha … 😂😂😂

Mimi naona wajikite tu kujenga hizo affordable housing, labda wataokota okota hizo kodi za walala hoi ziwasaidie kujiendesha kiuchumi chao. 😂😂😂
 
Back
Top Bottom