Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hamna tatizo! Ujenzi uanze! Dangote alitoa conditions lakini kwamba the 3 countries zikubaliane kujenga pamoja! Saša Tanzania imegoma!
😂😂 the dangote refinery is dead, aliraise some money but emepeleka kupanua kiwanda chake nigeria, uko x kenyans are complaining
 
No, your government spokesperson lied to them. Tanzanian media always reports what they are told, not what they have fact checked 🤣🤣😂
yes government spokesperson and the media houses wote have lied
 
One example Dodoma 100k capacity stadium MoU between Tanzania and Morocco in 2019, we are in 2026 and Morocco is nowhere to be seen with their 100k stadium 😂😂🤣
Ongeza na hii ya tanga pia, zinakua ngap jumla
 
Mafuta itoke Uganda isafirishwe hadi Tanga, alafu tena muirudishe Uganda. 😂 😂 😂 Wueeeehh enyewe African leaders hua na upuzi.
Kwani ile ya Lamu itatumia mafuta yapi? Kama inawezekana Ukunduni mbona isiwezekane Tanga? FYI refinery ya Tanga ni for export n Tanzania is about to strike crude!
 
Back
Top Bottom