Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,647
- 34,271
Kwani mnajenga refinery?πππ€£πWazee wa kujia tia kama ushuzi wa ngomani. Kila wakijaribu kujipenyeza tunawafurusha. πππ
Taifa lao halina fyucha π sasa wanaforce fyucha β¦ πππ
Mimi naona wajikite tu kujenga hizo affordable housing, labda wataokota okota hizo kodi za walala hoi ziwasaidie kujiendesha kiuchumi chao. πππ
Ama Dangote amehama Tanzania na hatujui?π€£π€£π