Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Railway from Nyayo to Talanta Stadium

View attachment 3644281
But why!
Screenshot_20260806-122600.jpg
images (31).jpeg
 
You sound stupid.. kwani we ushawahi kufika Upanga .? Au hata kuona kwenye videos.? 😂😂😂

Kama huko ndio mnaanza kujenga maduka chini ya tall residential buildings, now you have to know that Upanga yote ipo hivyo na ni tangu kitambo huwa wanajenga hivyo. Hiyo ni kawaida kwa Bongo even in masaki wanajenga hivyo kwasasa, majengo yote marefu ya makazi Victoria, Makumbusho n.k.

Kama unaona ni kipya basi mmechelewa manzee
Nimefika na nimeona video za Upanga.
Hio enda ukacompare na Roysambu/Mirema.
 
Back
Top Bottom