Traveller D
JF-Expert Member
- Jul 11, 2025
- 2,018
- 5,344
Kwenye suala la barabara wataacha ndala mana hiyo Arusha inajengwa barabara kinoma and it will never be the same again.. wakitaka kufanya comparison na vimji vyao wataona haya this time around. 😂😂Nakumbuka wakisema uwanja wa Afcon Arusha haujengwi, sasa wanaume tunajenga viwanja vitatu.
Now wanasema barabara haijengwi. 😂😂😂