stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 37,713
- 37,189
You're deluded but let me let you wallow in your delusions.
Nadhani mnanijua kama mimi si mtu wa maneno matupu, na najua pia mmeshahakiki nilichosema. Kwahiyo ni uoga na kujikaza tu. 😂😂😂 kama mnayaweza tushukeni ground. Google earth ipo.Wewe ndio huna hoja ju unaropokwa vitu bila evidence.
Tumia hiyo Google Earth Mwenyewe uweke hapa.Nadhani mnanijua kama mimi si mtu wa maneno matupu, na najua pia mmeshahakiki nilichosema. Kwahiyo ni uoga na kujikaza tu. 😂😂😂 kama mnayaweza tushukeni ground. Google earth ipo.
Jengo halipo Tanzania ila hapa kasema ukweli.Goba is beautiful and we like it that way
Hatutaki Gated communities, zitafanya owning house iwe expensive na itapush Watanzania kuishi kwenye slum mwisho wa siku Dar itakuja iwe kama Nairobi yenu, ilivyojaa slums. Hatutaki 🚮
Teargass and Nicxie saaahv watakua kwenye vilioWakenya wameiona hii au tuwumie voice note?
View attachment 3641565
View attachment 3641566
View attachment 3641567
Hizi hapa projects mpya, they been launched recently. 20+ storeys buildings.
All are of them in Upanga. Grand sultanate JupiView attachment 3641448Grand Sultanate mercury 22 floors 👇🏾View attachment 3641450SAFIRA living 👇🏾 21 floors View attachment 3641453View attachment 3641452
Hii hapo yote ni mira mipya ya over 20 floors at Upanga.
Hizi ni za less than 20 floors.
Kariakoo 👇🏾 Grand sultanate Venus 18 floors View attachment 3641454upanga 👇🏾 17 floors View attachment 3641455upanga 15 floors 👇🏾View attachment 3641456hii ni miradi nilioiona mwezi wa saba. NairobiWalker usiseme hujaambiwa. Mjuze na yule mnuka mavi. 😂😂😂
😂😂 nimetoka kuiona ticktock sasa hivi nimemaliza ku copy link niitupie humu nimekuta umeshaiweka. Wewe ndio uli record nini.?
😂😂 nimetoka kuiona ticktock sasa hivi nimemaliza ku copy link niitupie humu nimekuta umeshaiweka. Wewe ndio uli record nini.?
Anyways masaki is now a construction site. Ni gorofa zinamea every day. 👇🏾
View: https://vt.tiktok.com/ZS4BSXmA2/.
So unataka kutuaminisha kabisa kwamba hilo eneo la chini kabisa (lower terrace) ndio eneo la VIP? 🤣🤣Mjomba unalazimisha mambo ili walau upate furaha lakini hupati kwasababu unajua unajidanganya. 😂😂😂. Majukwaa yote yatafungwa VIP seats zenye ni foldable. Tufauti yao ni kwamba eneo la chini kabisa la hili jukwaa ndio lifungwa foldable seats na linaonekana hapo vizuri likiwa wazi.. na katikati ambapo patawekwa presidential appearance 👇🏾View attachment 3641004na jukwaa hili 👇🏾 linaonekana wazi kabisa eneo ambalo seats hazijafungwa kabisa 👇🏾View attachment 3641019halafu issue ni kwamba skyboxes zipo kila upande. 😂😂😂.
Kama utaamua kulia ulie au unye boga
Mimi niliwaambia sasa hivi Dar inajengwa kuliko wakati wowote. Ni vile tu hatuwezi kusimama barabarani kupiga picha. Na majengo yaishia ghorofa ya 12 au 17 kwasababu ya restriction. Marehemu Tanil kuna kiwanha alinunua hapo Kaunda/Ali Hassan mwinyi road hadi amekufa hakujenga. Alitaka kujenga 15 floors early 2010s akaambiwa hapo mwisho ground plus 3 floors only.Hapana sio mimi ni mzungu alirekodi analalamika kelele za wakati wa ujenzi. 😂😂😂
RRONDO aliwahi kuwaambia just because mnajenga maghorofa msidhani na sisi hatujengi.
Jengo halipo Tanzania ila hapa kasema ukweli.
View: https://x.com/dannie_ambush/status/2083599474769670256?s=46