NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,001
- 19,162
The Liker, yani wewe mtu akikutaja kitu kinakuja kwa akili yako ni ushoga? Shoga ni shoga tu kweli. 😆 😆Pisi mbovu mna shida sana... Unanitaka!? Naona una sema tu kwa majina bila ku mention...
Ila Nini, Mimi sio pigo zangu hizoo... Nikaushie. Wewe komaa tu na maisha Yako magumu. Kama ndio ndoto Yako kutafuta Mbongo akulainishie maisha bhas wewe endelea tu na mishe hizo ila MIMI nimekatazwaaaaàaa!