Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Capacity ndogo 20,000 seats! Halafu Kumbuka huko ni nje ya Kampala! Fans wanafikaje Lira na wanalala wapi? Hivi unajua katika hosts ni Tanzania tu imeweza kuwa na confidence ya ku-host nje ya capital city? Na naamini hata majiji kama Mwanza na Dodoma yangeweza kama viwanja vingeanza kujengwa on time!


View: https://vm.tiktok.com/ZGdxjNnxK/

Hii Vumbistan moja yenye ilikuwa na empty stadiums during CHAN ndani ya Dar es Salaam??
 
You say 4 million which is a figure and say it's not data!! What's your level of education if I may ask?
labda hii itakusaidia
1785769080066.png
 
You guys kwa nini hamna msimamo .Mara you don’t like uniform houses or real estate development projects Mara you like to build on your own different syles…. You really entertaining 🤣🤣🤣take a pick and stick with it . Don’t be chameleons .
Hii hapa ni kama Ruiru tu . Zimejaa huko everywhere.
I was about to respond with exactly these words. You beat me to it.🤣🤣🤣🤣
 
Yani main road pekee ndio iko na lami Ochunchingchong? 😆 😆
Sikuhizi Watanzania wengi wanajenga nyumba nyingi sana nzuri. What do u expect
Speed ya ujenzi ni kubwa kuliko uwezo wa serikali kuweka lami, in just few years kutakuwa na lami so kaa kwa kutulia. Huku kila sehemu ni nyumba mpya tu zinajengwa
Mfano hii neighborhood iko Mbeya, ilikuwa bush just 4 years ago lakini recently imeanza kujengwa kwa kasi , sasahivi government imeanza kuweka lami everywhere, hapo bado wanaendelea stage moja baada ya nyingine
PXL_20260315_122605854.jpg

PXL_20260618_131238747.jpg
PXL_20260315_123228673.jpg
PXL_20260315_123451687.jpg
PXL_20260315_122441677.jpg
PXL_20260315_122344948.jpg
PXL_20260315_122403180.jpg
PXL_20260303_090910817.jpg
PXL_20260303_091124837.jpg
 
Sikuhizi Watanzania wengi wanajenga nyumba nyingi sana nzuri. What do u expect
Speed ya ujenzi ni kubwa kuliko uwezo wa serikali kuweka lami, in just few years kutakuwa na lami so kaa kwa kutulia. Huku kila sehemu ni nyumba mpya tu zinajengwa
Mfano hii neighborhood iko Mbeya, ilikuwa bush just 4 years ago lakini recently imeanza kujengwa kwa kasi , sasahivi government imeanza kuweka lami everywhere, hapo bado wanaendelea stage moja baada ya nyingine View attachment 3642610
View attachment 3642606View attachment 3642608View attachment 3642609View attachment 3642611View attachment 3642612View attachment 3642613View attachment 3642614View attachment 3642615
Mbona sioni cha maana hapo wee mtoto wa shule?
 
Mbona sioni cha maana hapo wee mtoto wa shule?
Huoni barabara zinajengwa kwenye neighborhood
Nakuelewesha kuwa barabara zinajengwa baada ya neighborhood kukua kwa sababu you can't predict ni wapi Watz watajenga kwa wingi.

Kwani ulikuwa unaulizia maajabu au barabara, una matatizo ya akili we mzee 😂😂
 
They no problem with the design becasue they thought it would never be built. Now it's almost complete, they suddenly don't like the design.🤣 🤣
Hiyo design ni mbaya. Tulishaona kitambo since uwanja haujakamilika
Other than being big, it looks ugly
 
Mr. Baboon, nimekupea a very easy task. List all the buildings over 20 floors under construction in Dar uweke hapa, sio kutuwekea vijumba viwili vya 20 floors unataka tukupigie makofi wakati kwetu kunajenga jumba la 60 floors.
Leo hiki kichaka chako nakifyeka nakuandania list kalii kaa kwa kutulia hapo.
 
Back
Top Bottom