Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mkimaliza apo mnazifua mnaingia nazo uwanjan 😂 the only team without a training kit
1785770494204.png
 
I remember they sang Avic for 3 straight months. Hatukupua hapa … now suddenly sio mzuri kwao juu there are no buyers . I don’t know about my fellow Kenyans but I only get engaged here for entertainment purposes only . It’s fun dealing with indoctrinated fools . You learn alot.. 🤣🤣🤣🤣🤣
Umenikumbusha Avic Town by the way 🤣🤣🤣. What came of it ama wanunuzi walikosekana mchinku akakula huu?🤣🤣
 
Big and expensive
Na hao mende wamezidi kuchafua muonekano wa stadium 😂😂
BTW AFCON Ni 11 months from now, but after 12 months subiria uone itakua na muonekano gan 😂 😂 😂
 
Mwenzako ananiambia nimepost remda na wewe unapost renda.? 😂😂😂. Ooh oky au nikwasababu vitu za Tz zinamuuma kama nimemtia kidole.?
Nimeleta render ya such a massive complex already under excavation, unaleta render ya kibanda ata hakijaanza kujengwa? 😂
 
Nimeleta render ya such a massive complex already under excavation, unaleta render ya kibanda ata hakijaanza kujengwa? 😂
Au unatumia kiswaswadu .? au ni wivu.? 😂😂😂 2026 hii na haujui kuthibisha jambo online.? Huu uzi sio size yako then, enda utafute rika yako manzee.
 
Au unatumia kiswaswadu .? au ni wivu.? 😂😂😂 2026 hii na haujui kuthibisha jambo online.? Huu uzi sio size yako then, enda utafute rika yako manzee.
Nimeona mwingine amepost picha ya Hadzabe eti anawalinganisha na watu wao wenye njaa Turkana. 😂😂😂
 
They no problem with the design becasue they thought it would never be built. Now it's almost complete, they suddenly don't like the design.🤣 🤣
When you deal with clowns, expect a circus 💯🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nakumbuka wakisema uwanja wa Afcon Arusha haujengwi, sasa wanaume tunajenga viwanja vitatu.
Now wanasema barabara haijengwi. 😂😂😂
Kwenye suala la barabara wataacha ndala mana hiyo Arusha inajengwa barabara kinoma and it will never be the same again.. wakitaka kufanya comparison na vimji vyao wataona haya this time around. 😂😂
 
Kwenye suala la barabara wataacha ndala mana hiyo Arusha inajengwa barabara kinoma and it will never be the same again.. wakitaka kufanya comparison na vimji vyao wataona haya this time around. 😂😂
Kule msituni mnapojenga ule uwanja kuna dalili ya mji?
 
Back
Top Bottom