Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya pesa yetu ni mrefu. Sisi apana LDC. We can walk and chew gum.

Tunajenga na bado tunakopesha na kupatia vijana za biashara.
Nyinyi fanyeni pale uwezo wenu umefika.

Ata as usual, Kenya is offering 3 times more to its youth than Bongolala.
View attachment 3639381

Mnakopesha mkiwa mnatumia over 40% ya revenue yenu kulipa madeni, bila mikopo hata salary hamuwez lipa, ebu jaribuni mfanye kama tz kuwakopesha vijana , muone kama withini a year hamjadefault
 
Kwa style hii ya importation ya mabasi na trucks nilitegemea Tanzania ndo ingekuwa na deficit kubwa sana, lakini gap kinaendelea kupungua , mwakani effects za ongezeko la Kodi litakapokuwa lineshika hatamu tutegemee importation ya magari ya umeme kuongezeka na uagizaji wa mafuta kupungua hivyo surplus itazidi kuongezeka .
Mwaka huu ufuta haujafanya vizuri sana ila tutegemee bado kutakuwa na surplus
Surplus imetokana na tourism imefidia, kwenye kuuza mazao ripoti inasema hatukufanya vizuri sana ila tourism ilikuja kufidia, hopefully mwisho wa mwaka, hata ivo congo surplus yao inatokana na madini meanwhile kwetu ni sekta nyingi zimechangia, kwa kifupi ela imetembea kwa watu wengi
 
Sio pesa yenu kwa sababu unakopeshwa na haizalishi bali inaendelea kukupa burdeni ya kulipa.
Tz 10 % ya council revenue inatolewa kwa ajili ya vijana kwa ajili ya kuwakopesha at zero interest kwa mwaka , in the long-run wanakuwa more independent kuliko nyinyi mnageuzwa manamba
It's a monthly tax kama any other tax.
Zote ni pesa zetu.
 
Unanionesha nyumba zilizojengwa na companies for sale & rent?
Watanzania wanajenga nyumba zao wenyewe. with different designs. Sio same designs kama ulizopost hapo
Tuliza ujuaji.
Many of these 'companies' wanauza shamba. Mnunuzi anajijengea based on design ya hio estate.
 
Buda average ya usage bati kwa normal houses ya three bedroom, store ,lounge , kitchen itachukua bati za 170 kwa price ya 35,000 kwa gauge 30 inakuwa 5.9mil tsh ukiconvert kwenda ksh ni 297,000 ksh hapo bado hujaweka timber and the like kwa ajili ya kuezeka.
Sasa unataka kulinganisha mtz na mkenya anayejenga nyumba ya bati kwa 150,000 ksh🤣🤣🤣
Roofing yangu ilinikula Ksh700,000.
Yako?

Wingi wa mabati sio...
 
Tuliza ujuaji.
Many of these 'companies' wanauza shamba. Mnunuzi anajijengea based on design ya hio estate.
Kumbe ni heri sisi tunajenga design tunazotaka. Mtaa mmoja unakuta nyumba zina design 50+ tofauti tofauti vile inafaa
 
1785341003400.png


1785341015391.png

1785341022929.png

1785341034591.png
 
Mnakopesha mkiwa mnatumia over 40% ya revenue yenu kulipa madeni, bila mikopo hata salary hamuwez lipa, ebu jaribuni mfanye kama tz kuwakopesha vijana , muone kama withini a year hamjadefault
Ni wewe tunakopa? 😂😂
Uganda inawapita tu mkisema Kenya inakopa. Bongolala nyinyi
 
Kenya pesa yetu ni mrefu. Sisi apana LDC. We can walk and chew gum.

Tunajenga na bado tunakopesha na kupatia vijana za biashara.
Nyinyi fanyeni pale uwezo wenu umefika.

Ata as usual, Kenya is offering 3 times more to its youth than Bongolala.
View attachment 3639381
Source fund of nyota fund ni mkopo kutoka world bank na serikali kuu
Versus Tanzania ambayo source of funds ni owns source revenue from councils hakuna mkopo kutoka popote ,
Nyinyi mnazid kuongeza deni wakati tz haipngezi deni ila inatengeneza ajira
Screenshot_20260729-190207~2.jpg
Screenshot_20260729-190046~2.jpg

Umeona tofauti hapo.

Yaan unajisifia kumkopesha mtu 50,000 ambayo hawez hata kununua pilipiki ili afanyie biashara ? Hivi unajua tz kuna vikundi watu wanakopeshwa mpaka pilipiki au machinery kwa ajili ya production.
Hujioni kuwa wewe ni mjinga kulinganisha mikopo ya Tanzania ambayo Iko based on projects with projected impact tofauti na yenu ambayo inatamfanya aendelee kuwa maskini sababu haina hata mpango wowote wa kumsaidia raia
 
Back
Top Bottom