Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bro, ulisema a roadside vendor sells 10 bags of potatoes in a day na ukasema each KG produces two plates. 10 bags = 1000kg. 2plates per KG makes it 2000 plates. Alafu tukiwaambia masomo yenu ni ya ovyo mnasema tunawaonea. 🤣 🤣 🤣
BTW, that's the 5th time you're being proven wrong in the last 24 hours.
Screenshot_20260729-142951~3.jpg

Huwa tunaenda kwa evidence , njia nzuri ya kuwa competent ni kukubali kujifunza .
Hapo nimekuwekea minimum plates mtu wa highway anaweza kuuza kwa siku na ni hesabu ya gunia moja tu na hapa nimekuongezea kuwa kuna wengine wanauza mpaka gunia 10 per day na hata zaidi.
Kuhusu kumenya na kukata viazi inabidi mjifunze sana, sasa hivi kuna mashine ambayo inaosha , inamenya na nyingine kukata kabisa viazi.

Happ umewekewa hesabu ya mtu mmoja mwenye maximum sales ya 150 plates , ambaye ana capacity ya kufikisha 62,000ksh per month hatujafika kwa yule 10 sacks per day
Na umeambiwa kabisa kuwa sales prices au totally daily sales itakuwa 300,000 tsh / 15,000 na profit ya not less than 50,000 tsh / 2500 ksh.
Unashangaa hao wachips vipi

View: https://vt.tiktok.com/ZS4NJt2Ax/
Nae hawez Jenga ghorofa au nae si street vendor
 
Bro, ulisema a roadside vendor sells 10 bags of potatoes in a day na ukasema each KG produces two plates. 10 bags = 1000kg. 2plates per KG makes it 2000 plates. Alafu tukiwaambia masomo yenu ni ya ovyo mnasema tunawaonea. 🤣 🤣 🤣
BTW, that's the 5th time you're being proven wrong in the last 24 hours.
Ebu I screenshot Ile part niliyosema anaweza kuuza 10 bags? For what I know nilikuambia kuna baadhi wanaweza uza mpaka bags 10 sawa na 2000 sio wote na ni wale wako kwenye mkusanyiko mkubwa wa watu kama universities , markets na maeneo kama kariaokoo mbagala sokoni.
Ila street vendor mtaani sehemu isiyo na movement kubwa wastani gunia moja na ndo hesabu inayopigwa ili tufike kwenye calculation za total monthly profit ya 62,000ksh huyu 10 bags sijataka kumuweka sababu sio minimum au the majority. Hapa tunaongelea majority ambaye hesabu yake inafikia 62,000 ksh per month acha kudiverty mambo
 
Those are people looking for jobs. How is that related with education quality. Kipelepele wacha kimbelembele.
Looking for jobs?
Umeamka, unaenda kukaa road the whole day in the name of "looking for job"?

You don't look for a job by sitting in one place the whole day doing nothing. It's not even good for their physical and mental health.
But given the poor standard of your education, it's unrealistic to imagine you can ever reach this peak of reasoning.🚮
 
Arusha ikimaliza jenzi zake za miundombinu next year nadhani kimiundombinu itajismika kuwa jiji namba 2 behind Dar. Mpaka pale Dom naMwanza zitakapomaliza kujenga miundombinu yao.
 
Kwa style hii lazima iwe ngumu kuamini kuwa tz kuna muuza chips tu wakitaaa anaingiza 62,000 ksh kwa mwezi.
Hizi kazi mtu Bora aokote makopo akauze anapata zaid
BTW chips za kenya ni mbaya kichz, hakuna wapishi, i remember at one time nliekua nae ikabidi aniagizie something else mpaka nmesahau majina yake
 
What does sharing photos of former presidents add to your argument Kipelepele? How old are you? And you seriously think you have a better standard of living than those two billionaires?
Their faces epitomize a poor nutritional base. Sasa hata ukipata trillion ukubwani huwezi badilika.

Just look Ruto ama Gachagua🚮 Uhuru kazaliwa kwenye pesa yuko tofauti na wengine.
 
Back
Top Bottom