😂😂😂 kwamba roofed parking lot. 😂😂😂😂. Au kwakiswahili “eneo la kuegesha magari lililoezekwa”. 😂😂😂😂😂. Dah…!!! hiyo inaitwa Aibu utaona wewe.Things that no other stadium have in East Africa.
1. Roofed parking lots.
View attachment 3634935
2.
View attachment 3634937View attachment 3634938
thats still ours 😂😂 au huelewi maaana ya challenge
Btw kama challenge is way beyond your league useme tusiwe tunakusumbua 😂,
ni huzuni 😂 kumbe kazi ndo mnapewa ivoThat’s the kind of news that make your day .. I am sure you wanna know more …🤣🤣🤣🤣🤣
JNiA ni Wilson AirPort with mabati rolling mills structure..🤣🤣🤣
Mbona unoata?Mbona SA ana port and logistics infrastructure nzuri kwenye region hii lakini some of the imported cars destined for SA and most of Zimbabwe zinapitia Dar and Tanga ports hujiulizi competitive advantage ya Tz ports ni nini?
😂😂😂 Your biggest flex is that Tanzanians own the biggest Posho Mill in Mozambique?The same country ( Mozambique) that uses dar port as it's main gateway to it's northern provinces?
Buda do you know that the largest traders in mozambique are actually tanzanians.
Do you the largest maize flour , bus companies in mozambique are owned by tanzanians?
Keep dreaming 🤣🤣🤣🤣🤣.
Nagi investment in mozambique has more than 500 buses and more than 1000 trucks wholly owned by Tanzania. Actually the expansion of beira port for your information is going to benefit Tanzania more than you think.
Itakuwa rahisi kuexport zile goods zote kwenda maputo ambazo south Africa hawataweza kuuza sababu ya ugomvi na mozambique
To be honest, if Stakehigh was residing in the USA, he would make a good gay comedian . And probably be a celebrity dollar millionaire by now …he’s very good at swinging dumb hits and misses which might attract an audience that thrives on stupidity for laughs.Saa hii naona ameshift goalpost to nyasi ya mini Stadium 😂😂🤣
Nyasi ya main Stadium ameachana nayo kabisa😂
Kisu inamdunga mpaka DRC.Bado wewe ni fala mmoja tu.
Sijui kama unajua maana ya TAZARA, kwa Zambia kuiikimbia TAZARA ni sawa na kujipiga risasi mguuni. Na pia bado TAZARA unabeba mzigo kutoka DRC kwa wingi tu.
Huko Mozambique watajuana wenyewe kwenye mambo ya security, ni sawa tu na EACOP ilivyopotea kunyaland na kujipata Iko Tanga. Haya mambo hayaendi kwa maneno tu mzee... Kuna mikakati imesukwa vizuri tu.
Kitu Cha kusikitikia ni hiyo garimoshi yenu huko north corridor... 8 hours from mombasa to naivasha... Wakati hapo sisi tayari kwa SGR tunakuwa tupo Kigoma... Maana yake nini? Kwa muda mfupi, na kwa gharama nafuu maana hatutumii fossil fuels... Tunaweza kubeba mzigo mwingi kwa Nchi jirani kama Uganda, Rwanda , Burundi na Congo... Hata Hadi South Sudan... Tunawafikia haraka kabla ya hiyo chuma chakavu yenu.
Hiyo y Angola budget yake mboa ya kusuasu? $1.5 bln vs $700 mln? Muache kubeba empty containers na kama electrical SGR si kitu mbona mna mpango wa ku-electrify yenu?Kisu inamdunga mpaka DRC.
Usidhani tumesahau ata wao wanajenga rail to Angola port to bypass bongolala 😂
Hio SGR yenu ya mbio, why is it still carrying a tiny fraction of Kenya's SGR cargo annually?
Alafu, you electrified your SGR, only to achieve speeds I hit with my car daily.
Tanzania SGR is a slow speed electric train. Probably the slowest electric train in the world 😂😂
To make matters worse, your SGR lower classification does not even allow double stacking containers. Tracks hazina enough foundation, na pia waya za stima juu inazuia.
Unasema SGR yenu iko na mbio. Matatu pia iko na mbio kuliko basi.
Itabidi mwende Kigoma raundi tatu ndio mbebe mizigo kama sisi raundi moja.
View attachment 3634979
Kenya SGR Double stacking.
View attachment 3634980
12 and 13 floors tunajenga Roysambu kila siku bila kusumbua na kutangaza.New project at masaki. View attachment 3634748View attachment 3634749
mbna unaongea kwa uchungu sana,Kisu inamdunga mpaka DRC.
Usidhani tumesahau ata wao wanajenga rail to Angola port to bypass bongolala 😂
Hio SGR yenu ya mbio, why is it still carrying a tiny fraction of Kenya's SGR cargo annually?
Alafu, you electrified your SGR, only to achieve speeds I hit with my car daily.
Tanzania SGR is a slow speed electric train. Probably the slowest electric train in the world 😂😂
To make matters worse, your SGR lower classification does not even allow double stacking containers. Tracks hazina enough foundation, na pia waya za stima juu inazuia.
Unasema SGR yenu iko na mbio. Matatu pia iko na mbio kuliko basi.
Itabidi mwende Kigoma raundi tatu ndio mbebe mizigo kama sisi raundi moja.
View attachment 3634979
Kenya SGR Double stacking.
View attachment 3634980