Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kama nakumbuka vizuri some few months back they wanted to make this electric but ni kama extension inaendelea ya bati
View attachment 3634646
Issue sio kuwa electric tu bado watahitaji kubadilisha design nzima ya signalling system , curves na kufanya continuous welding ili iweze kwenda kwa spidi, gharama ni kubwa haiwezi kuwa na return kwao
 
95% of Tazara is used to carry copper and other raw minerals to Dar port for further export. Zambia is your big customer.
Together with Mozambique and Zimbabwe, they are building a trade triangle to Maputo port, now under expansion, with shorter routes.
Even the few Zambians who import their goods through Dar will soon have a shorter route. 😂😂

Bad news after bad news for Bongolala last few months. The gods of Tandale have abandoned you 😂😂
Inaonekana uko nyuma sana, Zambia wamekuwa wakitumia beira port miaka na miaka na ndo port iliyokaribu kuliko hata hiyo maputo.
Kutoka beira to harare ni 560 km na Iko connected na railway line tofauti na Ile ya maputo ambayo inatakiwa kwanza kwenda south Africa baadae ije iunge kwenda Zimbabwe.
Kutoka Lusaka to beira ni 1050 na railway connected for years , lakini bado hazijawahi tikisa bandari ya dar..sembuse kuexpand maputo ambayo haina direct link na any railway line to Zimbabwe ?
Keep dreaming
 
Tanzania inalenga kuwa na meli 14 mpya katika Ziwa Tanganyika ifikapo mwisho wa mwaka 2028, ambapo meli nne zimejengwa na kampuni ya Gold Voyage Logistics Limited.

Mchanganuo wa ujenzi wa meli 10 zilizobaki:

🚢 Gold Voyage Logistics Limited: Meli 2

🚢 TPA: Meli 4

🚢 TRC: Meli 4
 
1784720123430.jpg

Tunasubiria voingilio vya gor mahia day tuone kama wanaweza fikisha hata robo ya hii.
Na uwanja sasa sijui kama watakuwa nao kwa mechi za mwanzoni za caf
 
95% of Tazara is used to carry copper and other raw minerals to Dar port for further export. Zambia is your big customer.
Together with Mozambique and Zimbabwe, they are building a trade triangle to Maputo port, now under expansion, with shorter routes.
Even the few Zambians who import their goods through Dar will soon have a shorter route. 😂😂

Bad news after bad news for Bongolala last few months. The gods of Tandale have abandoned you 😂😂

Bado wewe ni fala mmoja tu.

Sijui kama unajua maana ya TAZARA, kwa Zambia kuiikimbia TAZARA ni sawa na kujipiga risasi mguuni. Na pia bado TAZARA unabeba mzigo kutoka DRC kwa wingi tu.

Huko Mozambique watajuana wenyewe kwenye mambo ya security, ni sawa tu na EACOP ilivyopotea kunyaland na kujipata Iko Tanga. Haya mambo hayaendi kwa maneno tu mzee... Kuna mikakati imesukwa vizuri tu.

Kitu Cha kusikitikia ni hiyo garimoshi yenu huko north corridor... 8 hours from mombasa to naivasha... Wakati hapo sisi tayari kwa SGR tunakuwa tupo Kigoma... Maana yake nini? Kwa muda mfupi, na kwa gharama nafuu maana hatutumii fossil fuels... Tunaweza kubeba mzigo mwingi kwa Nchi jirani kama Uganda, Rwanda , Burundi na Congo... Hata Hadi South Sudan... Tunawafikia haraka kabla ya hiyo chuma chakavu yenu.
 
Wanaenda kupoteza mizigo yote ya butembo, uvira na beni sababu itakuwa ni rahisi kufika
 
Ndio nashangaa jamaa anashoboka na mambo ya kwa jirani wakati kwake kupo hovyo.

Ukanda huu border ya hovyo ni malaba, pale watu wanakaa hadi siku 5 kusubiria kuvuka. Sasa kwa uchumi na biashara sio sawa. Hii SGR itawanyoosha sana hawa nyang'au.
 
95% of Tazara is used to carry copper and other raw minerals to Dar port for further export. Zambia is your big customer.
Together with Mozambique and Zimbabwe, they are building a trade triangle to Maputo port, now under expansion, with shorter routes.
Even the few Zambians who import their goods through Dar will soon have a shorter route. 😂😂

Bad news after bad news for Bongolala last few months. The gods of Tandale have abandoned you 😂😂
Don't forget to remind them about the rail SGR us building from DRC to Angola for export of minerals. Yani wanafinywa kila mahali😂😂
 
😂😂 if i were you, ningekua begging kwa m7 asiendelee na expansion yake kwenda TZ 😂😂 you have a single client, we have the whole of SADC amna anaeweza kutoa prices za chini kuliko sisi
 
Back
Top Bottom