Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kama nakumbuka vizuri some few months back they wanted to make this electric but ni kama extension inaendelea ya bati
1784711282072.png
 
Tazara about to see dust.
Maputo is coming for Bongolala's lunch. They are expanding their port and infrastructure connecting Zambia and Zimbabwe.
Port of Maputo is 300 km closer to Lusaka, and about 1200km closer to Harare than Darvumbi.


View: https://x.com/stats_wire/status/2079649105316315521


Fala mmoja kweli wewe!

Kuhusu logistics na trade corridors Tanzania Iko mbali sana. Zimbabwe sio mteja wa kudumu, na hapo unaona article inasema athari ni kwa southern corridor ambayo ni SA ndio Ina pata changamoto mpya.

Kwa central corridor, ni habari mpya.. sio continental corridor tu, it's intercontinental corridor baada ya ku link na North Africa at Egypt ports. Ina link bahari tatu Sasa, Indian ocean, Red sea na Mediterranean sea. Ni easy gate way to Europe and Asia. Kwa hiyo ukae kwa kutulia kijana.

TAZARA ndio kwanza Iko kwenye marekebisho makubwaa... Na SGR ndio hiyo inakwenda hadi Burundi. Tanzania ndio hub ukanda huu kwa modes zote za logistics. Barabara, Reli, viwanja vya ndege na water vessels.
 
Bro you need to calm down, yani you have to go to social media platforms to look for such comments for the sake of your ego? I think you have self esteem issues! of course in a country of 52 million people you are going to find them!
Kwan kosa lake ni lipi 😂
1784712467602.png
 
Bro you need to calm down, yani you have to go to social media platforms to look for such comments for the sake of your ego? I think you have self esteem issues! of course in a country of 52 million people you are going to find them!
Unataka kusemaje buda?
 
La uganda lipo. ila wale kilugha chao kigumu labda watu wa bukoba kule ndo wanaelewana nao! wakenya waongeaji ila maskini wa kutupa 😂😂 Ugandas arent rich but hawana umaskini ule uliopitiliza
View attachment 3634635

Yeah, jukwaa lao lipo ila halija changamkaa... Waje tu hata na lugha ya malkia tutaenda nae kwa kamusi pole pole 😅.. baada ya muda tuu watatii wataenda na sisi kiswazi.
 
Back
Top Bottom