Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobae.

1000327614.jpg
 
Mimi kinachonichekesha ni serikali ya Tanzania haijawahi kupiga kelele kuwa Dangote atajenga au anajenga refinery Tanga na ndio maana siku ile rais akamuuliza kaongo, ni kelele za wakunya na rais wao, iweje sasa washangilie like walikuwa wanashindana na Tanzania! 😂😂😂
View attachment 3626263
Hii kweli inashangaza. Ruto na wenzie ndio wanasema ijengwe Tanga wakati wenye nchi hawajui. Halafu wameamua wajenge Kenya suddenly ni ushindi kwa Kenya kuinyang'anya Tanzania refinery!
 
Hii kweli inashangaza. Ruto na wenzie ndio wanasema ijengwe Tanga wakati wenye nchi hawajui. Halafu wameamua wajenge Kenya suddenly ni ushindi kwa Kenya kuinyang'anya Tanzania refinery!
Wanajitekenya wenyewe na kucheka wenyewe.
 
Even if it’s true, ask yourself why Tanzanian tycoons are running to Kenya, is it because Tanzania does not promise ROI? Kenyans will continue building to sell for you and then uko hapo unashobokea Kenyans ku win ukifikiria ni vibaya 😅
Which Tanzanian Tycoon to be specific?
Kwamba someone expanding/internationalizing his business ni sababu Home country can’t promise roi? Is this how you reason ?
 
Hii kweli inashangaza. Ruto na wenzie ndio wanasema ijengwe Tanga wakati wenye nchi hawajui. Halafu wameamua wajenge Kenya suddenly ni ushindi kwa Kenya kuinyang'anya Tanzania refinery!
Ruto was just playing bait and switch diplomacy while addressing your parliament. Welcome to international politics. Ruto knew this whole time he had the cards on his chest. Just read his response after Mama said she knew nothing about the Tanga plan. You got played . Next is that EACOP pipeline…we gonna make it irrelevant . Watch this space 😆😆
 
We are not interested in either of you. Uzuri you will both buy petroleum products from Lamu😂😂
Screenshot_20260710-144752.png

Meanwhile tanga port on 🔥,muulizeni ruto ule mkataba wake na pk wa msa port umeishia wapi maku nyie,sie uwa atukurupuki,pa1 na mapungufu ya kibinadamu ila serikali yetu uwa ipo makini mno,maku nyie,huu mwezi auishi atakua na ziara kigali 🖕
 
Back
Top Bottom