Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kile kipande walikua wanasema cha kungoa pia hiki apa
1783777760070.png
 
Si huwa mnasema population yenu haifiki 70M? Eti Kenya tunazaana Kama panya.😂😂😂
Kwa kawaida kiuhalisia kabisa kwa ukubwa wa Tz tulipaswa japo tuwe milioni 200 angalau, na ndiyo mana hata maendeleo yalichelewa. Resources zipo nyingi hazifanyiwi kazi, zimebaki idle.
 
Wacha ujuaji wewe Kwahiyo wewe ni city planner?
Hata kwa walioendelea hufanya hv, majengo fulani yanakaa sehemu fulani, yanaleta mandhari nzr, lkn huku kwetu njoo dar uone maajabu, majengo yametawanywa tawanywa hovyo hovyo tu, moja unalikuta mwenge lingine ubungo, ukija posta tunabaki na majengo ya maana manne tu, wakitucheka kwamba hatuna majengo tunakasirika, kumbe majengo tunayo lkn planners hawana hawana exposure.
 
Back
Top Bottom