ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,817
- 88,984
Dubwana hilo.. ***** sio kama kale ka hall ka kunya renda. View attachment 3626863View attachment 3626864View attachment 3626865…
View: https://www.instagram.com/reel/Dan_Vc0uoxU/?igsh=MTVzbGp4YWJvYmp4. Nilimwambia bro Geza Ulole. Kwamba lengo la huu mradi ni kukamilika kabla ya Afcon .. wakuu wame confirm huu ukumbi utaisha mwezi wa 7 mwakani.
Kwahiyo kama tuko july.?We are already in July Baboon.
Afadhali cc barabara bado ninyi nyasi tu,zimewashinda tutawasaidia je. 🤣🤣🤣Nielewe nini Nyamwezi zaidi ya nyimbo nyingi tumetumbuizwa nazo humu za Talanta haitajengwa mark my words na Kenya haitaandaa AFCON?
These are kicks of a dying horse. Mnashinda mkitaja Talanta 24/7 wakati hata barabara ya kuelekea kule msituni Samia ndio hakuna!
Achana na Talanta bongolala, shugulikeni mjenga angalau barabara hapa msiwe wajinga View attachment 3626587
Nyasi gani unaongelea?Afadhali cc barabara bado ninyi nyasi tu,zimewashinda tutawasaidia je. 🤣🤣🤣
Nikuulize wewe kiswahili unajua.? 😂 seems hilo neno “mwakani” hujui lina maana gani.Umesema hiyo project itaisga mwezi WA Saba mwakani, ama hujui mwezi WA Saba ni which month in English?
We maku ni kipofu au.? 👇🏾View attachment 3626921… 👇🏾
View: https://youtu.be/_OfXBzW9yXQ?si=wKGK8fcdotxGJPuU.
Umesha google ukajifunza maana ya neno “mwakani”..?Wapi barabara hapo?
Jengeni barabara bwana, mtatuletea aibu next year.Umesha google ukajifunza maana ya neno “mwakani”..?
Dubwana hilo.. ***** sio kama kale ka hall ka kunya renda. View attachment 3626863View attachment 3626864View attachment 3626865…
View: https://www.instagram.com/reel/Dan_Vc0uoxU/?igsh=MTVzbGp4YWJvYmp4. Nilimwambia bro Geza Ulole. Kwamba lengo la huu mradi ni kukamilika kabla ya Afcon .. wakuu wame confirm huu ukumbi utaisha mwezi wa 7 mwakani.
Yaani hako kipumbavu kalikotimuliwa Tzn ndio informer wenu 😂😂
Mzee alitakiwa aandike vizuri kwamba matajiri wa Tanzania 🇹🇿🇹🇿 ndio wanainunua na kuimiliki Kundustan Kwa Sasa meanwhile Kundustan is struggling with poverty,madeni na njaa 😂😂👇👇
View: https://x.com/i/status/2071585681827377376
Eacop haiwezi kufa ni Bomba ya ku export Mafuta Sasa sijui wewe mkundustan unadhani itakufaje wakati imeanza production.Don’t you find it ironic posting about the Ugandan line joining Kenya after all that hot air about Museveni using Tanzania route …. Next to die will be EACOP … it will be a slow painful death…😆😆
😂😂 kuwaonyesha tu kwamba hawatuweziWatanzania bana Wakenya wakianzisha mnawapiga×2🤣🤣
mbna hasira tena 😂 mm nlikua naulizia tu ile skai pot yenuWalio na akili zao ndio hawa ndani ya skybox View attachment 3626917
Onyesha eneo lililotifuliwa tufurahi kidogo
So hii hutaki? Instead of focusing on the 50×100m wewe unataka kupata furaha on a small section of 2×1 meters.Onyesha eneo lililotifuliwa tufurahi kidogo
and again still bado kuna sehem za kurudia, the overall grass planting is a failure tatizo lenu mlikua mnaongeza filter while we talk realitySo hii hutaki? Instead of focusing on the 50×100m wewe unataka kupata furaha on a small section of 2×1 meters.
View attachment 3627005