babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,403
- 35,983
Ukumbi mpya mkubwa wa mikutano Arusha.Nini hii?
Ukumbi mpya mkubwa wa mikutano Arusha.Nini hii?
That section was replanted kijana wa Tandale. Huu uwanja inakusumbua akili badala uende umwagilie vumbi maji kwenye barabara za kuelekea Arusha😂😂View attachment 3627156
au umejiskia tu kuongelea uwanja wa arusha 😂Ingekuwa inajengwa uzi ungejaa mapicha kama kawa
mmejiandaa lakini? 😂 😂 😂 😂 sio watu wanaingia uwanjan na kunguni
Sawa.Ingekuwa inajengwa uzi ungejaa mapicha kama kawa
kajiskia tu kuongelea chuga kijana wetu tusimfokee sana 😂 si unajua tena hali ya uwanja waoSawa.