ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,312
- 89,721
Au siyo? ๐๐๐๐๐Hizi zote ni hasira za kuwa rejected na Dangote๐๐.
View: https://www.instagram.com/p/Dao9eu5s3oV/?igsh=eDA5NWNwazlkOHRi
Au siyo? ๐๐๐๐๐Hizi zote ni hasira za kuwa rejected na Dangote๐๐.
Sabasaba au?Kimya kimya.
View attachment 3626803
Hii ikifanyika ni Bora zaidi kuliko refinery hasa hapo kwenye kiwanda Cha mbolea na umeme maana mteja wetu pamoja na mambo mengine atakuwa Kundustan ๐ ๐ ๐ ๐
View: https://www.instagram.com/p/DaS4GYNkmiG/?igsh=b2hpODEzNHF6eG1v
Ukumbi mpya mkubwa wa mikutano Arusha.Sabasaba au?
Mapua unatapa tapa"Talanta haitajengwa mark my words, ikijengwa nahama JF..." ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Baada ya hii Arusha itakua haikamatiki, kwa miradi na ujenzi wa majengo marefu unaoendelea Arusha, kiukweli wakimaliza watajiweka kwenye nafasi nzuri mtu ya walau jiji namba mbili kimaendeleo hapa Bongo.Kimya kimya.
View attachment 3626803
Kabisa yaani, tupate na mabasi ya mwendokasi sasa.Baada ya hii Arusha itakua haikamatiki, kwa miradi na ujenzi wa majengo marefu unaoendelea Arusha, kiukweli wakimaliza watajiweka kwenye nafasi nzuri mtu ya walau jiji namba mbili kimaendeleo hapa Bongo.