Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbn juakali?
mbna apo pazuri
1783782272817.png
 
Hata kwa walioendelea hufanya hv, majengo fulani yanakaa sehemu fulani, yanaleta mandhari nzr, lkn huku kwetu njoo dar uone maajabu, majengo yametawanywa tawanywa hovyo hovyo tu, moja unalikuta mwenge lingine ubungo, ukija posta tunabaki na majengo ya maana manne tu, wakitucheka kwamba hatuna majengo tunakasirika, kumbe majengo tunayo lkn planners hawana hawana exposure.
Hilo eneo lina majengo maref mengi ni vile angle tofauti NSSF mafao house, PSSSF, Impala hotel zaman sasa Morena hotel , Leopard tours, TGC U/C na hotel nying kubwa zipo maeneo hayo wenyeji wa Arusha wanaelewa.
 
Acha kupoteza muda na hao wapumbavu. Uwanja unajengwa nje ya mji barabara itatoka wapi? Ni wazi barabara itajengwa lakini hao wajinga labda wanafikiri barabara haitajengwa.
Ingekuwa inajengwa uzi ungejaa mapicha kama kawa
 
Back
Top Bottom