Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

A BRT system is economically not a difficult thing to Kenya . It’s not about the money but the resistance of the Matatu cartels that run the show. Once the government and the cartels come to a reconciliation then things on the ground will change…
😂 😂 Kwan sisi hatuna matatu? there is a reason everything fails there, now explain what happend to these tables
1783698425343.png
 
Right now they can say anything for justification

Hakuna refinery kunyaland.... Ndio maana hata capital seed ambayo serikali yenu ulisema itatoa hadi Sasa bado... Na hapo bado uhakika wa soko la mafuta bado halijapatikana maana nchi nyingine za EA Zina plan zao binafsi. Ile commitment ya pamoja haipo... Na uhakika wa Monopoly kwenye soko haupo.

Na ndio maana financing ya hiyo refinery bado ni utata... Hawezi kutumia pesa yake mwenyewe kujenga. Hata kama anayoo.. otherwise itachukua hata 20 yrs ndio amalize project hiyo.
 
A BRT system is economically not a difficult thing to Kenya . It’s not about the money but the resistance of the Matatu cartels that run the show. Once the government and the cartels come to a reconciliation then things on the ground will change…
But I would rather focus on Metro transit… That’s what Nairobi needs .Mass transportation by electric commuter trains …
kwan sisi hatuna matatu? 😂 😂 and who told you kenya has money 😂 nchi ina circulate madeni wewe unahesabu kama cash flow 😂

View: https://x.com/moneyacademyKE/status/2075399608637739224?s=20
 
A BRT system is economically not a difficult thing to Kenya . It’s not about the money but the resistance of the Matatu cartels that run the show. Once the government and the cartels come to a reconciliation then things on the ground will change…
But I would rather focus on Metro transit… That’s what Nairobi needs .Mass transportation by electric commuter trains …
alafu electric commuter trains, kwa umeme upi? dont you know every 50km kuna another power station, auulidhan ukishaweka cables umemaliza 😂
 
Hakuna refinery kunyaland.... Ndio maana hata capital seed ambayo serikali yenu ulisema itatoa hadi Sasa bado... Na hapo bado uhakika wa soko la mafuta bado halijapatikana maana nchi nyingine za EA Zina plan zao binafsi. Ile commitment ya pamoja haipo... Na uhakika wa Monopoly kwenye soko haupo.

Na ndio maana financing ya hiyo refinery bado ni utata... Hawezi kutumia pesa yake mwenyewe kujenga. Hata kama anayoo.. otherwise itachukua hata 20 yrs ndio amalize project hiyo.
So when the construction begins this year , whatchu gonna do . Call it AI ???.. 🤣🤣🤣
 
Hakuna refinery kunyaland.... Ndio maana hata capital seed ambayo serikali yenu ulisema itatoa hadi Sasa bado... Na hapo bado uhakika wa soko la mafuta bado halijapatikana maana nchi nyingine za EA Zina plan zao binafsi. Ile commitment ya pamoja haipo... Na uhakika wa Monopoly kwenye soko haupo.

Na ndio maana financing ya hiyo refinery bado ni utata... Hawezi kutumia pesa yake mwenyewe kujenga. Hata kama anayoo.. otherwise itachukua hata 20 yrs ndio amalize project hiyo.
btw uganda wanajenga refinery yao mpya
 
Back
Top Bottom